Habari gani wakuu! Tangu asubuhi ya leo hii kila nikijaribu kufungua blog yangu haifunguki,nikahisi labda ni network lakini mpaka saizi naona kimya,then nikapata wazo la kufungua blog spot...
Wakuu habari zenu
Siku zote huwa naona misaada ya ku-unlock moderm za huawei...
Moderm yangu ZTE na siyo huwawei, model yake ni K3571-Z na IMEI yake ni 359591034981292 (vodafone)
Please...
Naomba msaada kwa developers wanaofanya kazi na Joomla. Kwa sasa kuna kazi naifanyia majaribio kwenye localhost(xampp) natumia joomla 1.5, Je, kuna madhara yoyote kwenye frontend template kama nta...
Kama wewe ni bloga na unatumia wordpress, then nakushauri uweke mobile friendly plugin, ili blog yako iwe compatible na mobile devices za kisasa, zipo plugin kadhaa kuifanya blog yako ionekane...
Wakuu,
Mtandao wa Airtel umetoa offer ya internet kwa siku 3 , hii ni kwa watumiaji wa simu pamoja na Modem... Offer hii inaanza kesho ijumaa hadi jumapili saa 6 usiku.
Na wasi wasi uenda...
IntroductionThe cost of internet has been dropping dramatically in East Africa, since even before the advent of the undersea fibre-optic cables which came in 2011. There are now a lot of options...
Guys Leo kulikuwa na ubishi wa kitaaluma kuhusu jinsi ya kugenerate pdf Reports kwa kutumia library kutoka Joomla. Sasa mmoja kati yetu alitoa details zake jinsi ya kufanya hiyo kitu lakini...
1)YouSerials.com | The KEY to Serial Numbers! 2) findserialnumber.com - findserialnumber Resources and Information. 3) KeyGenGuru.Com serial numbers, keygen, cracks, serial key generators - 4)...
kwa wale mnao penda kudownload movies na mme kuwa mkishindwa kuzi pata au kudownload kwa sababu ya ukubwa wa movie.Sasa kuna neema kwa ajili yenu .fungua hii website Mobile Movies utaona...
Hi guys!! mi mkali ila humu nimeingia karibuni, skia!! kama ulikuwa unatumia modem ya tigo free jaribu tena kutumia na ile lyn ambayo ulikuwa unasurf bure!! mi nasurf bure sema spidi ni ndogo...
Yes now it is official: Android users are more likely to have sex on first date.
A recent survey by Match.com has revealed Android users need lovin a little quicker than iPhone and Blackberry...
Police Testing £12,500 Laser Speed Camera Which Can Tell If Drivers Are Using A Mobile Phone Or Not Wearing A Seat Belt From Half A Mile Away
Police have unveiled a laser speed camera that is so...
Hacking network Anonymous has released a recording of a conference call between the FBI and UK police in which they discuss efforts against hacking.
The conversation covers the tracking of...
Kama kuna waliowahi kusoma hii fani ya ICT kwenye AVU wanisaidie uzoefu wao.
Website yao ni- Welcome to the African Virtual University (AVU)
kazi njema
laptop ni LG.when I power it on inaboot mpaka kwenye BIOS screen it shows up zile option press f2 to run setup na press f11 for BBS POPUP after that the whole computer is kama vile ipo locked...
Flowchart ni moja ya nyenzo au tekniki inayotumika kwenye mambo ya programming katika kuonyesha na kudocumment kwa hata mtu asiyekuwa mtaalam wa program nini sasa code/program zinafanya na...
Wakuu nimezunguka mikoa mingi nimeona kuna watu wanafaidi sana na cable tv ambapo wanaweza kuangalia channel kama HBO,Macau,MTV,Trace,Discovery,Channel zote za bongo,Kenya,Uganda,Star Movies,Dubai...
Have u ever asked your self what parts makes Boeing, Airbus or any big aircraft to fly?
Do u know the four major forces behind the pysics of flying and wich part of the aircraft creates them...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.