Naomba msaada wa kujua tatizo kwani jana nili-install kaspersky antiv..sasa leo naiwasha haiwaki mpk mwisho na inaishia ktk scren inayoonyesha start windows normally au from previous good setup...
WADAU NAOMBA KUFAHAMISHWA NI AINA GANI YA SATELLITE RECEIVER NI BORA (The best) HAPA EAST AFRICA AMBAYO INA UWEZO WA KUSHIKA TV CHANNELS NYINGI. NATAKA KUNUNUA. KWA SASA NATUMIA MEDIACOM PLUS 910...
Nina Laptop Compaq nc6120, niki-connect kwenye power (Umeme) inastack au kuwa slow mno, nikiitoa ina-perform kawaida. Hivyo nalazimika kuicharge kwanza kisha natoa kwenye umeme na kuendelea...
Msg inasema"we have an important msg for you to know it call this number 004238770736 free. Shida yangu nahitaji kujua hizo namba za nchi gani? Na vodacom nao wana share na hao?
Hebu angalia picha hii (negative) kwenye dot nyekundu kwa muda wa sekunde 30 halafu angalia sehemu yenye uwazi kwa muda utaiona in color hii nimeitoa yahoo, i liked it, try it too.
Kuna huduma airtel wameanzisha ya boom club unanunu na kusajili line 2 za airtel kwa gharama ya 1000.
Sipo hapa kuwatangazia biashara ukitaka habari waulize mawakala wao. Ila ipo hivi kwa wale...
wakubwa.
kwenye simu zenye uwezo wa kufanya VIDEO CALL.Nawezaje kurekodi mtu kwenye computer.
nataka kujua ,je naweza kutumia any wire or device during calling ninarekodi maongezi
naomba wajuzi...
Habari wana jamii... naomba mnisaidie juu ya hili suala limekua likinipashida sana... kwa wale watengenezaji wa website au blog, unakuta umedownload free template lakini wanakuambia haitakiwi...
NIMEFUNGA LNB Ku Band Juu ya C-band ya local Tv nimepata Emmanuel Tv na nyngne nyng nimeweka Freq za 12722 hor SR 26657 nimepata Package ya My Tv africa nzima (kama ilivo DSTV, GTV STARTIMES NK.)...
Greetings,
How can the mobile phone industry best contribute to the village, district and national development? What are the roles of ICT community in rural development especially with regards...
jamani anayejua chochote kuhusu setting za kwenye simu ambazo zinamuwezesha mtu kuangalia video kwenye youtube naomba anisaidie. Maana nlikua nnaangalia video zamani ila sasa nkitaka kuangalia...
Mimi ni mtumiaji mzuri wa huduma za tigo hasa huduma ya internet , nimekuwa mtumiaji wa package ya standard month tsh 40,000/- (kabla hawajabadilsha bei )kwa takribani miezi 8 hivi hadi walipo...
habari zenu wakuu!! mimi nina blog yangu ambyo inahusu intertainment,lakini tatizo kubwa nimeshindwa au naweza sema sijapendezewa na zile templates ambazo blogspot wanzazo (pale katika design...
For windows7 get the following software from: Microsoft Store Online Then for other versions of windows go to: WinToFlash - Install Windows From USB - Download Page See how the two sofware...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.