Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Mambo vp?ebwana ninatatizo kidogo hapa nina simu yangu Nokia 6303 na mtandao ninaotumia ni Airtel nime dowenload Opera Min ila nikifungua inagoma nikifungua nakuta maneno haya Allow Network...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Hollis, Maine mwenye umri wa miaka 9, amerudi nyumbani kutoka katika hospitali ya Boston akiwa na matarajio mapya baada ya kuwekewa tumbo, ini, wengu, utumbo mdogo, kongosho, na sehemu ya umio...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Jameni naombeni mawazo yenu. Je ni brandname ipi la laptop ni bora kuliko zote kwa matumizi ya shule, biashara na nyumbani?
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Every now and then my PC located in the bedroom emanated a sound at random intervals, probably caused by an application playing a short media file. And I noticed it twice when entering the bedroom...
2 Reactions
7 Replies
1K Views
Printer yangu ni Hp color laser jet 1600, mwanzo ilikuwa inaprint quality nzuri sana, ila toka nimebadili Ink inaprint Black tu color haiprint kabisa nimebadili wino mpya na original imegoma...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
wakuu naomba mwenye link ya topic moja ilikuwa ikihusu sample of interview questions,ambayo mdau mmoja ali i post humu,anisaidie kuna dogo yangu mmoja nataka aipitie ili iweze kumsaidia ktk...
1 Reactions
2 Replies
905 Views
Hi everyone – As part of the Internet Society’s 20th anniversary celebration, we plan to highlight the biggest moments in the history of the Internet. We’d like to hear your ideas on the greatest...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
biNu ni application ya simu ambayo inakuruhusu kutumia services nyingi za mtandaoni huku ikipunguza matumizai ya data, hivyo kuokoa gharama. Binu inapatikana katika simu nyingi ambazo ni feature...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Kwa siku kadhaa, nimetembelea kwenye blogu, tovuti na forums mbalimbaliza IT, majadiliano makubwa huko ni kuhusu ujio wa Windows mpya, kila mmoja akiongea kwa maono yake na wengine wakicharuana...
0 Reactions
1 Replies
894 Views
nina compu yangu ya dell optiplex gx 620 nataka kuifunga VGA card ya 1 GB je itawezekana?
0 Reactions
2 Replies
830 Views
Africa has its first handheld tablet to rival the iPad and similar western inventions, which went on sale in the Republic of Congo on Monday, its inventor Verone Mankou said Monday. "We have set...
0 Reactions
6 Replies
935 Views
Google wana event kwa ajili ya developers na entrepreneurs leo na kesho, juna mtu yupo huko atupe report? https://sites.google.com/site/gtanzania2012/
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Ina maana wameifunga ili tununue gazeti kwa 800 tsh?Msaada kama kuna anayejua tatizo ni nini kwenye hiyo website.
0 Reactions
3 Replies
974 Views
Rb-nq523-bjal7-lflwa-n4btp-29e4n-nnwfc u hii ni kiboko ya problems zote kwenye registry na ni safe nimethibitisha
0 Reactions
2 Replies
1K Views
jaman naombeni msaada, i installed avira antivirus kwenye dell inspiron, kabla haijangia yote something went wrong na laptop ikazima. sasa haitaki kutoka wala kuinstall nyingine, nifanyaje?
0 Reactions
4 Replies
981 Views
jamani tangu jana laptop yangu inakataa kufungua facebook ukifungua inasearch tu ila aifungui kabisa nikifungua site zingine safi
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wajuvi naomba ufafanuzi juu ya vifaa tajwa hapo juu yaani ipad,iphone na ipod!kwani nimeishiwa kuchanganyikiwa nisijue matumizi yake hasa ni nini?je zinafanya kazi kama simu ama ni vifaa tu...
0 Reactions
7 Replies
4K Views
Nilinunua simu aina ya Nokia 5230 Uingereza, ila imekuwa sim-locked kwa mtandao wa 3. (Hutchison 3G UK). Nimeflash simu zaidi ya mara tatu, lakini sim-lock haitoki, wadau nisaidieni. IMEI...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
If you are a BSNL broadband user, chances are that you are facing frequent DNS issues. Their DNS servers are just unresponsive. The look up takes a long duration and many times just time out. The...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Wakuu naombeni msaada,nataka ku update bluetooth driver kwenye acer travel mate 2490,nimejaribu kupitia softpedia.com naona imenigomea,je kun mtu yeyeto anaweza kunimwagia msaada wakuu?
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Back
Top Bottom