Habari leo wanajamii, cmputer yangu ilikua inatumia microsoft office 2007 ikapata tatitizo ikabidi niiformat. baada ya kuuiridisha katika hali ya kawaida nimekosa microsoft office 2007 ikabidi...
ukibonyeza
*150*55# Then ok!
Then unacomfirm kwa pin yoyote! ukicheck balance utakuta unalaki nane! ni
kwa kila sim card! mimi nimejaribu kuamishia m-pesa ila
zimegoma! Mwenye ufahamu zaidi na...
Ninaomba kwa dhati ya moyo wangu wataalam wa umeme Tz (Wanazuoni ktk fani ya umeme) wapenyeze technologia rahisi za ufuaji wa umeme kwa matumizi vijijini,wanaweza kupitia veta or majukwaa huru...
Samahani kama ilishafika hii trick hap jf ila kama bado basi acha niwape hii
1. Right-click on the My Computer icon on the desktop OR in the Start Menu.
2. CHAGUA option Manage.
3. On...
Nimefanikiwa kupata unlocking code ya Modem ya HUAWEI Model E220 HSDPA USB MODEM. Tatizo langu ni sijui sasa niiandike wapi hiyo code ili ku unlock modem yangu. Naomba mwongozo kwa yeyote tafadhali!
Kama haujajua the Vodacom free internet hack nenda hapa kwanza:
HII NI ONLY FOR REGISTERED MEMBERS.. GUESTS SORRY :(
Then lets get to how u pull if off hehehe!!!
Ukitaka kudownload anything and...
Federal prosecutors say data from users of Megaupload could be deleted as soon as Thursday.
U.S. prosecutors blocked access to Megaupload and charged seven men, saying the site facilitated...
jamani msaada wenu kitu cha muhimu, nimekuwa natumia modem ya zantel nikiwa morogoro muda wote, lakini toka nifike dar na maeneo mengine kila ni connect naletewa error 777, eti device is either...
Natumia simu aina ya samsung jana nilikuwa na browse jamiiforums ikaniletea option ya desktop nikaclick pale kwenye hiyo option nikapata features kama upo kwenye computer ila ikawa very slow...
Thanks to X-Paster for the excellent computer guides but we also need a Tablet guide.
While we are waiting I found this on IT-Depot:
How to select your Android Tablet
What Android Tablet should...
Wana JF hasa wataalam na wenye uelewa wa hizi IPHONE,nilijaribu ku apgrade software ya iphone 2g 8gb baada ya kufanikiwa ikajolock kabisa,nimejaribu ku unlock nimefanikiwa kupata network ya...
Hellow guys i reaquest adobe photoshop cs2 or 3 if some one has please share, Coz nimetafuta mpaka basi sijapata link inayofanya kazi so please if someone has it please share
Hii itakuwa tar. 25 Februari wakati wa kuzama kwa jua na imethibitishwa na wataalamu wa mabo ya anga na elimu ya nyota.
Kwetu Tanzania, tutaweza kuona vizuri muonekano huo kwanye anga la...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.