kwa wanaotumia mozila,explorer nk ebu jaribu kutumia opera ni safi sana
kitu kama unatumia computer za mac ,safi sana wakuu hata katika kuwnload ni safi kabisa
nimeipenda sana mimi
habari za kazi wakuu, Naomba msaada wa nokia x2 unlock code (T Mobile) Nimeletewa toka usa ina line ya T Mobile ila ikiwekwa line ya hapa inataka sim unlock code.
Canadian scientists are developing a robot that mimics the human face's expressions and human hand's tactile processes, which they say will be useful in areas like nursing, nuclear plant...
Kuna kakitu kanaitwa Banjuka kwenye matumizi ya internet ya TTCL kamenifanya niibiwe mchana kweupe na kampuni hii. Wanasema wanatoa unlimited bundles: Tsh 1000/hr kuanzia saa 12 asbh - 12 jioni...
Kama ulitembelea tovuti kubwa kama Google, Wikipedia na hata Facebook, nadhani uliona kuna ujumbe uliokuwa unaonesha kupinga miswaada miwili ambayo serikali ya marekani inatizamia kuipitisha kuwa...
i have been trying my best to trick for the free internet,but it seems am going to put ma hands up!this damn business cracking ma head.
i was browsing some where on...
Habari ndugu wana-JF?
Naomba mwenye kufahamu vizuri anieleweshe ni nini maana ya Oracle RAC.. Na Oracle-Apps ni kitu gani hasa.. Nataka kuchagua kati ya hizo niisome vizuri.. Au naweza zisoma...
Wadau haya mashirika ya simu ya hapa nchini kwa kweli yana huduma mbovu sana,mimi natumia internet ya vodacom,kwa kweli mtandao huu ni mbovu hakuna mfano!wako slow mno,kifupi ni maudhi tu,tofauti...
Wapendwa wana Jf, ni juzi tu niliistal W7 kwenye mashine yangu, baada ya hapo nikalog Yahoo, uups! Invalid pasword, nikajaribu ya my waifu wangu, invalid pasword. Kiukweli nimepaniki sana kwani...
THE DEMISE OF THE COMPUTER MOUSE?
It's hard to imagine a computer you can control with your eyes, but the technology exists and should be available on store shelves in the next couple of...
(Reuters) - The U.S. government shut down the Megaupload.com content sharing website, charging its founders and several employees with massive copyright infringement, the latest skirmish in a...
NAOMBA msaada nahitaji kuweza kufanya online shopping isiyozidi dola 50 au elfu 50 kwa mwezi, nipo hapa dar, jee nitumie njia gani? ni bank gani inayotoa credit card kwa kirahisi. bila ya...
hivi hii cable inaweza kutumika ku-copy file from one computer to another.
Je ninaweza kuitumia katika ku.copy file kutoka computer ninayotaka kufuta iliyokwama kufunguka?
nitashukuru
Jamani naomba msaada,mi natumia internet ya cm laini ya voda.nikitaka kudownload videoz inakataa vp.?.au hakuna huduma ya kudownload ukiweka chekainternet.
Nipo kwenye kikao cha wazazi shule ya msingi, kuna mwalimu amesema kwamba mitaala siku hizi imebadilika mitaala ya zamani inasema sayari zipo 9 ila mitaala ya sasa hivi inasema sayari zipo 8. Hili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.