Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
umechoshwa na window media player na vlc player?? Wataka uchange player yako ya unique uwashangaze wenzio chuo na ofisini? Basi fuata step hizi. Kwanza: open microsoft paint Pili: open...
0 Reactions
0 Replies
678 Views
Ili uweze kupata hii service unachotakiwa ni kufungua hii website JaxtrSMS - The World's Only Free and Open Texting Application kisha download jaxtrsms app ambayo ni compatible na simu yako...
1 Reactions
73 Replies
11K Views
Habari wakuu! Kuna hili suala la uandikaji wa title za thread zetu naomba niliongelee kidogo. Mimi naamini kichwa cha habari kina uzito mkubwa sana tu katika habari husika, kichwa cha habari...
11 Reactions
32 Replies
3K Views
wanajamii nimeweka password jana usiku kwenye blackberry yangu alafu leo najaribu kuingiza inakataa kabisa nimeshafanya 9 atempt out of 10 nifanyeje naombeni msaada wenu
0 Reactions
10 Replies
1K Views
wakuu leo siingiiiii humu.
0 Reactions
1 Replies
983 Views
Wana jamvi nina adapter ya toshiba laptop baiuza kwa gharama ndogo kabisa, anayeitaji aniPM MODEL: PA-1650-21 INPUT 100-240V~1.6A 50-60HZ OUTPUT 19V 3.42A
0 Reactions
0 Replies
721 Views
Jamani mimi nililipia subscription ya maisha toka 2006 Videos, documents kila kitu kimeondoka naomba mtujuze whats the alternative Pia namshauri Invisible atuletee contigency plan just incase...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Wakuu nina simu yangu aina ya black berry bold 8520 nikiiwasha inaniletea msg ya app error 523 reset,nimejaribu kufanya kila njia ikiwa pamoja na hard reset bado tatizo liko palepale ,msaada plz...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Here is a nice free resource in video format. Excellent for beginners. appendTo Developer Learning Center | Map your Learning While looking at the above, would also like to point you to...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
nina2mia app ya opera kwenye cm yangu lkn tatizo haiwezi kudownload why
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wakubwa naomba kama kuna anayejua vipimo vipya vya masafa star tv. Ni juzi tarehe 20 ndio nasikia wamehama. Natumia c band dish. Samahani kama nitakuwa nimekorogakoroga.
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Guys hii ni kwl au kuna watu wantuzingua this is the ip claiming to be the next megaupload and that we should bookmark it cause they havent got a domain yet but are working to get back...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
HUwa ina maana gani wanapo sema , Connectivity price was $3,000 - 4,000 per mega bit to now $50 - 60 mega bit Hizo ni price za Fiber Optic cable , Huwa ina maana nisha nini haswa na...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Please HELP! it is a zantel modem
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kwa wale wa MB 200 za bure kutoka airtel internet kwa sasa ile offer imerudi! Cheers:poa
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Natumia sim Nokia 2730c kama Mordem Kwenye PC yangu Ila Ipo Slow Saana Natumia Airtel 3G. Naombeni msaada kama kuna njia ya kuongeza Speed Thnx
0 Reactions
2 Replies
764 Views
Plse help me Sasatel smtp address I want to use mail client e.g. outlook
0 Reactions
3 Replies
1K Views
please send rectriction code for nokia 2730 c
0 Reactions
1 Replies
1K Views
wakuu wataalamu wa kuchakachua, nina iphone 3G , sijue nifanyanye ku unlock?
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wadau samahani,naombeni mwenye maujuzi ya jinsi ya kudownload utorrent kwa maana ya kuinstall kwenye computer yabgu anisaidie,au kama kuna mtu anajua software yoyote makini kwa ajili ya movies...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Back
Top Bottom