Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
I have a dell computer optiplex 520. It is not booting, keeps on blinking nothing on the screen. Can any one help please
0 Reactions
5 Replies
1K Views
mimi kwa sasa nipo dar maeneo ya yombo buza ,huku intanet ya airtel ipo slow mno yaani ni kama hamna 2!je tatizo ni hii moderm au eneo?kwani hapa dar mtandao usumbue?nimejaribu zantel ni gusa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wakuu mashine hiyo imezima kabisa na haitaki kuwaka baada ya ku-update BIOS. Aliyewahi kukutana na tatizo kama hilo tafadhali nisaidieni ufumbuzi wa tatizo kama hilo! Natanguliza shukrani zangu.
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Kuna mtu anaweza kunipa msaada namna ya kujiondoa kwenye google search result let say kama unatitwa hamisi juma mtu akiandika asipate results zenye jina lako
0 Reactions
19 Replies
2K Views
:nerd:PYTHON PROGRAMMERS PYTHON PROGRAMMERS - JamiiForums | The Home of Great Thinkers Am inviting coders with experience in Python programming and anybody out their interested in learning Python...
0 Reactions
1 Replies
954 Views
Hii mashine 'Computer desktop Dell' nilikuwa nimeituliza bila kuiwasha kwa miezi karibu mitatu sasa. Leo nimeiwasha naona Screen yake inaleta chenga na mawimbi ya kufa mtu. Naona picha...
0 Reactions
20 Replies
4K Views
@Mods, uzi mtauweka kwene jukwaa muonalo linafit zaidi, mkipenda Baada ya kuchoka na spidi za 'unlimited' za 0.00 kps za Voda niliamuaga kuhamishia majeshi huku Sasatel, kwa sababu mie ni mtu wa...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Wakuu niko kwenye NGO ya kuwawezesha watoto (YOSSO) na nahitaji kuiboresha design ya hii blog yetu iwe na muenekano kama wa blog hii (KILI CHILD EMPOWERING FOUNDATION (Kicef.)). Yaani iwe na pages...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Naomba ndugu zangu mnijulishe aina nyingine za Ving'amuzi vizuri maana hiki cha star times kimezidi MIKWARUZO.Mwanzoni kilikuwa safi,mara wakabadilisha Package,UHURU{ 18000} na MAMBO{...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Computer yangu haifungui website ya jamiiforums, nyinginezo ziko vizuri! Hii imekuwaje?
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Hivi karibuni Laptop yangu hai detect Sony Camera yangu kwa kutumia USB cable ambapo siku za nyuma ilikuwa ina detect. Kuna picha nataka kuzihamisha. Nimetumia card reader pia lakini sijafanikiwa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Katika pitia pitia zangu katika web page tofauti tofauti youtube ikiwa moja wapo nimepa idea ya kuinstall android operating system kwenye computers...nikahisi litakuwa si jambo baya kama nita...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Experiments by researchers in Argentina have suggested that using wifi-connected laptop computers could affect male fertility. In simulated tests, the sperm of 33 volunteers was negatively...
0 Reactions
1 Replies
796 Views
msaada katika wireless network kwenye samsung galaxy mini proxy&port na static IP
0 Reactions
2 Replies
730 Views
Forgot your Windows admin password? Reinstall? Oh no... But not any more... This is a utility to reset the password of any user that has a valid local account on your Windows system. Supports...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
A comparison showing the boot speed between Windows 7 and Snow Leopard.....keep in mind my macbook pro is over 2 years old....and my Dell has a 4 threaded i5 processor
0 Reactions
2 Replies
817 Views
Wakuu nisaidieni, kuna mtu ame hack account yangu na ameanza kusambaza email za kipuuzi kwa kutumia address yangu. Nimebadili password, na nimeweka filter kwa email zote zinazoingia. Je kuna...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Jamani naomba utaalam wa kuchakachua kingamuzi cha startimes niweze kucheck game ya real madrid na barcelona
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Back
Top Bottom