Hii naona imekuwa too much unakuta mtu ana kampuni yake ya kitanzania kabisa baada ya kuweka picha za kitanzania anaamua kuweka wazungu ili iwe nini? uvivu au? maana tunajua wengi wana customize...
kama wewe ni mtumiaji wa facebook ungependa kujua muonekano wake kama watumiaji wa iphone nenda kwenye link hii touch.facebook.com tatizo lake wanakuchaji kiasi cha bundle kubwa tofauti kama...
Following the recent drive by the government/Ministry of Education to try and eradicate/get a handle on the never-ending saga on ghost workers, I got to thinking how an ICT based system can/could...
Wanajf wenzangu mambo vp? Naombeni kuuliza kwa wenye uzoefu wa kutumia nishati ya gesi kwa matumizi ya nyumbani kwa kupikia.Mahitaji yangu ni familia ya watu watatu mimi waifu bintinti wa kazi na...
http://www.youtube.com/watch?NR=1&feature=fvwp&v=qM-_qKkgb1E
Kama hii inayofuata ni kweli!!!!
http://www.youtube.com/watch?v=DHrSulXPYu4&feature=related
Wadau natumia zain ila kuna wakat flan ukitumia huduma zao ukipres *102*6# wanasema umepewa 200mb to use 11hrs to 06hrs hv hz mb ni matumiz ya cm pekee au naweza tumia kwa comp pia!
Tafuta options fungua ¬ nenda kwenye security ¬Bonyeza saved Password chini kulia ¬ Andika jina la tovuti na username kwenye sehemu ya kutaftia ya mtu unaetaka jua password yake kisha bonyeza...
nnaomba msaada jamani mi nnatumia Opera mini6 lakini haitaki kusave pages kila nikisave inaniambia failed to save, cjui tatizo nini haswa. Napia ningeomba kujua kama kwa kutumia hii browser je...
On the ministry of education page, I have noticed that personal details i.e. exam results and teacher posting displaying the info in spreadsheets, Don't we have a privacy policy in TZ.
Facebook ikiwa ni nyumba ya online kwa mamilioni ya watu duniani, hivyo mabadiriko yanayotokea kwenye facebook ni dhahiri yanaathiri kwengi wetu. Katika siku za karibuni Facebook wamekuja na kitu...
Mwenye kufaham naomba aniambie hii ni namba ya namna gani.
imekuwa ikipiga kwenye namba yangu ya tigo mara kwa mara na siku tatu hz naona ni kila siku jioni, leo imeita asubuh.
kinachonishangaza...
Wanajamvi wa jukwaa la sayansi na technologia,
nimekuwa nikisikia kuwa, kuna mafriji ya Feni na Coil, hivi nini tofauti yake....??? kwani nilipochimba kwenye mtandao on how these stuffs works...
Nina server ya dell poweredge 1800 ilizima ghafla na baadae ikawa inabrink rangi kama ya njano hivi kila nikijaribu kuangalia tatizo silipati na mara ya kwanza ilifanya hivyo na baadae ilirudi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.