Natumia nokia 2330 classic. Application ya watsApp messenger haingii kwenye simu, maana kila ninapo search napata whatsApp format ya symbian(.sis) na nokia 2330 haiaccept symbian...
Naombeni msaada.Account yangu ya yahoo inagoma kufunguka kwenye laptop yangu lakini niktumia computer zingine inafungka.
Mara zote inakuja "incorrect password".Nimeingia help na kuajiribu options...
Jmn huu co mtandao wa ku2mia kama ww ni mtanzania unae ishi maisha ya kawaida,
hapa namaanisha kwa wale wa2miaji wa INTERNET
Ukijiunga na cheka internet ya sh.500/= wao wanadai eti wanakupa...
Helllow, Mobile Monday Dar(MoMo) inawakaribisha katika event itakayofanyika COSTECH siku ya tarehe 6 mwezi wa pili... Theme ya siku hiyo ni Mobile for Rural development... For more information...
Watu wengi tumekuwa tuki poteza vitu vyetu vingi kama software,Documents za muhimu au hata kuliwa na virus.au kuwa mbali na vitu tunavyo itaji .kwa Mfano mtu uko moshi CV yako iko Dar [kuweza...
Wadau naomba kujulishwa kuna nyoka flan hv nimefanikiwa kuonana nao mara nying kwa mara ya mwisho ilikuwa leo ndipo nilipomuona nikatafuta fimbo na kumlushia kwenye majani Hawa nyoka wana rangi...
Habarini wana JF wenzangu.Kwa wale wanaoganda na torrents kwa kutokujua kwamba mediafire movies unaweza kuresume,fanyeni hivi...
Step-1
When you resume the download it may tell you 'ERROR' or to...
Natumia Nokia N72,tatizo ni kwamba hii simu haikai na charge,ni siku moja tu inaisha,na betri na orijino kabisa. Matumizi yangu makubwa ni INTERNET,ambapo naperuzi mitandao ya kijamii kama...
Ninunue LNB gani kati ya C- BAND ama KU-BAND ili nipate kuona Channel za bure zenyekuonesha MPIRA na MOVIE za NIGERIA + MZIKI,
Itayoendana na uelekeo wa (East) wa dish langu bila kupoteza hizi...
Ni kwanini JK alikwepa kujibu hoja ya Sir Tim Berners-Lee wa W3C kuhusu IT technology in Education huko Davos? Au ndo kusema we still manufacturing teachers and textbooks?? Una maoni gani kuhusu...
WanaJf nihabarishen juu ya maada zinazo hit kwenye blog zaid na zinazokubalika(vutia) kwa wasomaji wa blogs? Ni jina gan niipe blog yangu? Na maada gan zitawale? Nataka nifungue blog iliyo bora zaid.
Cell Phone Buying Guide
Buying a cell phone is more than a matter of choosing a handset--you also have to pick a service provider, or carrier, as well. Each carrier in this business offers a...
sasa hivi ni 23:20 Sat 28 Jan 2011
Nataka niandike program kutumia Java ,nikiadd minute inabadilisha saa,saa inabadilisha siku baada ya kufika 2359 na kuadd minute
Nipeni utaalamu.
Natumia Nokia 6300, tatizo ni kwamba nikidownload music, video au photos naambiwa "file format not supported", hata nikirushiwa nyimbo kwa njia ya bluetooth tatizo linabaki "file format not...
nina pc yangu aina ya hp toka jana ilianza ukolofi baada ya kuwa kijana wangu wa dukani eti aliifungua ili kutoa vumbi kwani ilikuwa na vumbi sana kwa kutumia brower,sasa kumbe kuna betri kama ya...
Gari limekuja na hii system lakini inaonekana kuhitaji CD ya ku reboot ili ifanye kazi. Nasikia kuna wanaofanya hii kazi. Tafadhali wana jf saidia hapa nimekwama.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.