guys modem hii nailipia sh. 30000 kwa mwezi so naona ni nyingi kidogo ukilinganisha na matumizi yangu wakati zain ukilipa tsh. 2500/= unapata 400MB. na vodacom ukilipia 3000/= unapata 50MB so...
WanaJFwenzangu mambo vp?
Naombeni msaada wenu kwa wenye uzoefu wa hii OPERAMINI yenye O kubwa kwa mimi ninayebrowse kwa kutumia simu ya Nokia E61i.
Ninapoingia humu JF kupitia mfumo wa Desktop...
Naomben msaada chaja yangu ya laptop iliharibika sasa katika mchakato wa kutafuta ela kununua ingine nilikaa kama wiki mbili ivi then nkanunua tatizo ni kuwa betri uktoa kwenye umeme laptop...
Aksanten wanajamii forum, mpaka sasa kuna mambo mengi ambayo nimefaidika nayo kupitia forum hii ya science and technology.
Wakuu mim nina moderm ya airtel huauwei, nimekua nikifuatilia moja ya...
salaam wakuu, mi ninatumia modem ya Airtel nimekua niki experience connection problem hususan ku log in acc ya yahoo, nimekua niki ingia thru messenger lakini leo inagomakabis ina fika tu mahali...
For our budding 3D artists and advertisement professionals, please see what can be achieved using zero cost software.Red Color | BlenderNationCompany writes: Made with Blender 2.6, GIMP and...
nina gari used toyota cresta.sehemu ya kupimia engine oil mara nyingine hukuta imechafuka kwa oil na maeneo yote kuzunguka hapo, pia naweza kuikuta dip stick imejivuta kwa juu,(kama...
habari kwa wotewana jf mimi simu yangu ni yanokia kila ninapo nunua memorycard bt baadaya kudownload nyimbo kuna faili linavyo andika imgchae sasa nifanyeje au ndo virus?
Wakuu naomba kama kuna mtu anayo driver softwere ya hii photocopy machine aina ya HP LASERJET 1320 au link ambayo naweza pata driver zake naomba anisaidie nimefomat computer nikataka kurudishia...
Computer yangu ni Dell intel p 4,RAM 640,PRO.2.40GHz WIND.XP2 nikipiga nyimbo in high volume computer inastuck kila kitu kinasimama, kasa haitembei mpaka niizime.NAOMBA MSAADA
Salaaam Wakuu wa Jf technology
Mnaonaje tujaribu kufanya reseach binafsi ya kutafuta taarifa na matumizi ya number ya dharula kwenye makampuni ya simu za mkononi na vyombo husika(Serikali)...
Wakuu nawakaribisha kwa Mjadala wenye lengo la kueleimishana Mambo mbalimbali yahusuyo Technolojia ya Mawasiliano. Leo nimeona nirushe Swali ambao wengi huwa wanalijibu kimakosa na walimu wao...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.