Habarini wakuu..
Naombeni tusaidiane hapa kwa wenye uelewa na hivi vitu,.
Ni namna gani nitaweza ku unlock sim hii niweze kutumia mitandao mingine tofauti na tiGo.
kila ninapoweka line nyingine...
Wakuu 21st Jan. CAN ndani ya nyumba, vipi kuna mwenye idea ni channel gani ya hapa nyumbani itakayoonecha mechi zote.Hapa nililipo ni siku nne sasa sipati Star tv kwenye dish, karibu mwezi sasa...
hey wajeda hamjambo?? Trick mpya hii ya kupata credit za skype zenye thamani ya euro 1
unachotakiwa kuwa nacho ni computer na internet halafu fata process hizi
KWANZA: nenda...
Habari wataalamu,
jioni hii nimenagusha simu yangu Blackberry 8520 ikatoka battery, baada ya kuweka battery na kusubiri kwa muda simu haikuwaka badala yake ikaja screen nyeupe na message isemayo...
Leo asubuhi nimepokea email ambayo I'm pretty sure ni spam(+ilikuwa kwenye spam folder). Email yenyewe hii hapa:
Hello My Dearest One
Hello this is Joy who contacted you before at...
WanaJF wenzangu mambo vp?.
Naombeni mnisaidie nitawezaje kuiblock simu yangu yenye serial no,xxxxxxxxx isitumike maana imeibiwa naona bora tukoswe wote tafadhali mwenye maujanja asisite kunisaidia.
Ni matumaini yangu kuwa wajanja wa jukwaa hili muwazima.
Niko naomba msaada/mwongozo wenu wa namna ya kumtrace anonymus anayekutumia email.
Kuna kiumbe nimevumilia nimeshindwa, amekuwa...
nna tablet ina os ya android v2:2. Nimejaribu ingia android market lakin games mbaya ndo free za ukweli unalipia jambo ambalo nashindwa coz sina jinsi ya kulipia kutokana na mfumo wa ulipiaj...
Buyers Guides to TV, DVD and Blu-Ray Players
TV, DVD And Blu-Ray Players
TV manufacturers have pulled out all the stops to bring that cinematic experience into your home. Expect stunning...
Website ya UDSM imekuwa offline kwa muda. Ukicheki inakuambia "Account Suspended" japokuwa leo wameongeza hapo kaujumbe kuwa "The website has been temporarily put offline for maintenance purpose"...
Hello friends, today i will share with you a collection of windows tweaks that will help you to achieve maximum system or PC speed. All want that their system will work as fast as possible so why...
nataka ku unlock T-MOBILE 3G za kutokea US,apa tz azifanyi kaz adi unlock ukiweka line unaambiwa uingize network namba zipatazo 8,lakin US zilikuwa zinafanya kazi,msaada wa ndugu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.