Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Mh
How 2 make a status in fb via BlackBerry,iPhone etc
0 Reactions
8 Replies
961 Views
habari wana jamvi, naomba msaada wa ushauri wa kitaalamu kuhusu monitor yangu (sony multscan E400),kwani ghafla imeanza kupoteza rangi na ukiigonga inakaa sawa,yaani inarudi ktk rangi ya...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Nina picha za mnato nataka kuziweka kwenye slide show je ni soft ware ipi nzuri . Ninmejaribu p dvd maker quality imetoka mbovu nina omba msaada
0 Reactions
1 Replies
713 Views
heshima kwenu wanajamvi, nisaidien wapi nitapata betri ya hp min laptop na ni bei gani? Ahsanten
0 Reactions
0 Replies
753 Views
Salama, jamani ninapata tabu katika kuunganisha network ya Zantel pia na kujaza vocha kila nikiunganisha napata msg ifuatayo "Error 691: aceess was denied because the username and/or password was...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Waungwana naomba msaada wa license key ya spyware doctor 9.0.0.898. Pia kuna sehemu wanataka license name, natakiwa kuandika nini? (msaada jamani, jahazi linazama)
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Wakuu naomba msaada wa kujua kitaalam mvua dar zilizosababisha mafuriko zilinyesha kwa kiwango gani.... nimetazama kwenye website ya TMA hakuna hizi data
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari za jumapili wapendwa?nimenunua laptop procesor ni pentium na ni 32 bit os je kwa iyo itakuwa ina mapungufu gan ukilinganisha na za kisasa au naweza kubadilisha procesor?
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Computer inazingua inaleta sms hii "PXE-E61 media test failare check cable" hata nikitaka kuboot cd ya window inashindikana....nimecheki cable zote lakini sijafanikiwa jaman I.Ts naomba msada wenu
0 Reactions
2 Replies
875 Views
All your hacking needs
0 Reactions
2 Replies
558 Views
Nina laptop hp 620,ilikuwa haina shida kabisa,bt lately,nikiwa nacharge betry inacharge mpaka 90%, halafu haiendelei kucharge, inaandika plugged in not charging,rating ya umeme iko ok,nimejaribu...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
jamani naomba msaaada wa majina ya movies ambazo zipo kwneye jamii ya wrong turn, the breed, jason x, the tribe, 13th friday night, lake eden, black water e.tc. ili nizidownload kutoka internet
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Habari waungwana. Ninaomba msaada katika kutatua hili tatizo. Ninapenda sana kutumia browser ya operamini katika simu zangu zaidi hata ya browser ya simu yenyewe. Lakini hivi karibuni...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Napenda tu kama kuna mwenye idea ya proces za google na jinsi ya ku seti intanet ya bure, sababu inasemekana unaweza tumia intaneti bure ila unatakiwa useti kupitia google mwenye idea jaman please...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
wakanda Develop data driven web applications for desktop (web browser), smartphones and tablets. Plenty of intro videos to showcase some of the features in this new tool... Code Away!...
0 Reactions
0 Replies
738 Views
jana nilikuwa nikiangalia kipindi flan clouds tv wakionesha msanii flan akitengeneza video ya wimbo wake. Nilicho gundua ni siri ya kwanini video za bongo ni mbaya. Kwanza wanakuwa hawaja...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
How to add wifi network on my galaxy mini
0 Reactions
4 Replies
886 Views
Habari zenu wakuu kuna app nimetengeneza via facebook.. ambayo itakuwezesha kupost on your wall sayin via Jamiiforums kama kwa mfano ukipost kupiia simu yako inasema via mobiel, or via blackberry...
3 Reactions
43 Replies
5K Views
Naka kununua simu,nimeipenda sana sim ya google touch screen,uwezo wake,na uimara wake ukoje? Uwezo wake wa katika internet.
0 Reactions
0 Replies
821 Views
Wakuu juz kat nilidownload programe ya NERO wakanipa trial ya siku 14,.sasa ime-expire natakiwa ninunue, naombeni mnijuze jinsi ya kuchakachua au nipate serial no. za kuinunua.
0 Reactions
6 Replies
942 Views
Back
Top Bottom