Jamani, hebu tujuzane juu ya codes muhimu za kuverify/kuchunguza simu za mkononi. Code ninayoifahamu ni ile ya kucheki IMEI namba tu, yaani*#06#. Hapo ndo mwisho wa barabara yangu.
Naomba mwenye...
Unakuta used computer zinazouzwa Kariakoo zime kuwa registered kwa first owner, inawezekana kuibadilisha iwe kwa jina lako bila ku install operating system upya?
Hii inakuaje? nikiweka line ya airtel then nikiopen youtube inaniandikia no response,try again.ila nikiweka line ya voda ina open vizuri,natumia nokia c2-01
wakuu ninaomba maelekezo cm yangu nikiongea na mtu yeye hanisikii vizuri sbbu kunakuwa na makelele mengi hata kama sehemu niliyopo ni tulivu sana sijui ni tatizo gani?
Turning your monitor into a touchscreen could some day be as simple as peel … and stick.
Displax, a Portugal-based company, promises to turn any surface - flat or curved - into a...
Ndugu wana JF wote kwa pamoja tupo kuelimishana na kugawana ujuzi nk na kwa mwaka huu mpya naanza na hili la free code unachotakiwa kufanya nitumie imei no yako na mep kwa mfano:
IMEI ...
​Salaam wakuu
mi nilikuwa na modem ya huawei E1550 ya airtel ilikuwa internet ilikuwa fasta sn tu kwa bahati mbaya iakaribika nikalazimika kununua modem mpya za airtel aina ya ZTE MF190...
wadau mi nina shida moja.. Computer yangu imeacha kucharge inaniandikia 40% plugged in, not charging..nikichomoa adapter inazimika hapo hapo..nilivojaribu kuondoa battery na kuchomeka adapter...
wakuu nadhani miongoni wetu wapo waliowahi kukutana na tatizo hili la lnk files!
kuna mtu jana kaniletea laptop yake ambayo icons zoze kwenye desktop zinadeploy notepad! yan namaanisha ukifundua...
Ninafahamu kwamba mitandao karibu yote ya simu imeanika sokoni vifurushi vya intaneti.Ninachotumia mimi ni vodacom BOMBA7. Kifurushi hiki kiko hivi: kinanunuliwa kwa sh 10,000 na unapata MB 750...
Microsoft wanaendeleza movement ya kuondoa ie6 katika internet. Hii web yao ya countdown Internet Explorer 6 Countdown | Death to IE 6 | IE6 Countdown.
Web developers watakua wanajua adha ya...
habari zenu wakuu? Tafadhali naomba msaada nini nifanye ili kuondoa tatizo la white screen kwenye laptop yangu. Tatizo hili huwa halina formula, linaweza kutokea wakati nawasha computer, wakati na...
Wadau kumekuwa mchakato wa kubadilisha upatikanaji wa Matangazo ya Televisheni toka katika mfumo wa analogy kwenda katika Digital.Kwa raia wa kawaida wengi tunabaki njia panda!Mabadiliko haya...
I'm using this phone and would like to inform other colleagues that there's an important update needed for fixing several bugs...
Make sure you update your phone ASAP!
The latest firmware update...
Hshima mbele wanajamii..
Naomba kama kuna mtu anafaham program yeyote naweza kutumia ku download movies au TV series na Muziki aniandikie hapa
niitafute.. ni zile za free ndo natafuta. Zamani...
Heri ya mwaka mpya wadau. Nina server dell poweredge 1600sc, ina hhd tatu na zote ziko patitioned, issue yangu kuwa hapa ni jins i gani naweza kuongeza size ya patition ambayo ndiyo ina OS maana...
Follow this link to download the LATEST version with bug fixes: Mozilla Firefox Web Browser
Why upgrade your browser?
The Browser
A browser is a piece of software designed to view...
Guyz' nimeflash simu yangu nokia 6270 kabla sijaflash ilikuwa inaplay video (stream) na ilikuwa ina2mia applications za internet kama operamini. Uc browser, bolt n.k ila sasa inagoma' NAOMBA...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.