Eti police, wanajeshi wanaonyesha utaalamu wao ( kuvunja matofali kwa kichwa) wakizamani enzi za ROMA. Wakati usA , iran, russia, france, ndo kwanza makombora ya masafa mareeefu na ndege ziczo na...
Cjui mimi mwenyewe ndo naliona hili: WAMAREKANI, IRAN, ISRAEL, RUSSIA Wakuju sana kivita kiasi kwamba wanatumia ndege ziczo na rubani na makombora ya masafa marefu zaidi yenye 'TREMENDOUS IMPACT'...
Habari yenu members wote wa jamii forums. Ninaomba msaada wenu wa mawazo au kuhusu tablet PC. Mimi na kampuni yangu ya Young Master Supplies and General Enterprises tuna mpango wa kuleta Tablet...
Heri ya mwaka mpya wana jamvi. Naomba msaada wa kuifanyia ujanja modemu yangu ya voda ili nitumie mitandao yote. Pili naomba msaada wa jinsi ya kuanzisha blog yangu, ni hayo machache nawakilisha...
wakuu habari zenu... samahani kuna tatizo linanisumbua katika kupost kitu katika blog yangu... iko hivi, nikiwa napost kitu kipya huwa post inafanikiwa kuwa posted ilia kinachonishinda all...
habari wana jf naomba mnijuze kattika torrent sites hawa seeders ni watu gani na hawa leechers ni watu gani na kwanini mtu ukitaka ku download unatakiwa u download file lenye seeders wengi...
Wana Jamii,
Nataka kujenga nyumba lakini kwa upande mwingine nataka niweke slab kwa juu nijenge chumba kimoja,sebule,choo,study room,2 conopi mbele na nyuma,sasa nataka kujua estimation cost...
Wakuu naomba msaada wenu nitumie au nitafute sofwate gani niunganishe simu yangu ya Samsung GT - 15500 na pc kwa kutumia kama modem, kuamisha mafiles, n.k
NAWASILISHA!!!
Wakuu Kheri ya mwaka mpya,
Naomba msaada, jinsi ya kutengeneza forum au discussion group.
Ninayo domain ambayo iko hosted na ninailipia ingawa kama kuna sehemu ya bure ambayo naweza kutumia kama...
Nina wazo la kuanzisha kituo kidogo cha kurusha free to air TV katika mkoa fulani, vifaa vya production vingi ninavyo; tatizo nililonalo ni kwenye upande wa transmission;
1. Ni transmitter gani ya...
Hi wadau..
A little bit of help here.. Am about to buy iphone 4 but I would to know if it works here in tz. Cos the last I heard it was nt possible. So please fill me in!
----------------------------------------
Office Professional Plus 2010 Retail Keys
-----------------------------------------
Office Professional 2010 76XCJ-YMH2W-YQQV6-XX76X-QK3K7
Office...
Wakuu habari za mwaka mpya 2012,
Nimekuwa nikidownload software mbalimbali bila matatizo lakini inapokuja kwenye games
ndo tatizo linapoanza. Zimekuwa ngumu mno kupakuliwa labda vigame...
Napenda kuwatakieni wote kheri ya mwaka mpya 2012 kwa jf members.
Ndugu zangu naombeni ushauri kuhusu blog yangu,nataka sasa kukaribisha matangazo ya biashara,sasa kama kawaida kila jambo zuri...
Nisaidieni niki downloard operamin au uc browser,hazifungunguki, ina instole kwa mda mrefu bila kumariza kisha inakuja text ilioandika check settings,nifanyeje?
Habari watu wngu wa jf..lengo la topic hii ni kujuzana mobile apps unazozifaham na kuzi2mia ambazo ni nzr na ni wapi zinapatkn.i mean web ip..ili kila m2 anufaike!karibu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.