Nenda nokiarock.Com then ingia kwenye software utaclick on new software then utaiona sor jamani natumia cmu nimeshndwa weka link lakn ukifata maelekezo utaipata
Kwanza natanguliza shukran zangu nakuwatakia HAPPY NEW YEAR wanajamvi woote wa forum hii.
Shida yangu nilikuwa naomba kwa yeyote anaye kumbuka kuna thread ilianzishwa hapa ili husu juu ya...
Unapoingia ndani ya chumba chenye giza,kisha ukabonyeza swichi ili kuwasha taa,je giza linakwenda wapi?. Au unapokuwa ndani ya chumba chenye mwanga wakati wa usiku halafu ukabonyeza swichi kuzima...
Wakuu
nillifanya instalation ya hiyo window yapata mwezi sasa,lakini wakati nafanya hivyo nikiwa na original cd key yake kutoka kwenye cd hiyo ambayo ni ProductKey =...
ZTE Modem ya Voda K3571-Z kila niki apply inakubali,ukifungua tu browser inakata.Nina 3G ya Voda lakin inagoma kuunganisha. Ukiifungua inakuja ile nyekundu ya Voda. Na ukifungua 3g pekee inagoma...
How to extend your
smartphones battery life By Tecca | Today in Tech - Fri,
Dec 23, 2011 No matter what type of smartphone you have, the device can serve as your MP3
player, digital camera...
Wadau kuna habari zozote kuhusu ofa mpya za internet toka Airtel ? majuzi walitutumia sms kusitisha ile ofa yao ya internet MB 200 za bure kuanzia saa 6 usiku wakisema wanaleta ofa kabambe kwa...
Habari wakuu,
Tafadhali kama yupo mtu anaulewa juu ya kubadili hizo ac hapo juu naomba msaada maana kuna mambo mengi nashidwa kufanya kama yupo please naomba msaada natumia windows xp.
wana jf naomba msaada wa kuunganisha simu yangu, niliponunua simu hii nimeikuta ikiwa na opera 4 ambayo naitumia kuingia kwenye mtandao, ss shida niliyonayo ni pale ninapotaka kudownload kitu...
Habari wana jf
Naomba msaa wa kuondoa tatizo laptop imenigome. Nilikuwa nafanya installation ya antivirus ya avast nilipomaliza ilinitaka nireboot ili ifanye sytm scaning, niliclick ok lakini...
Does anyone has any idea on how to unlock tiGo modems nowadays?
Nlikuwa naweza kuzi-unlock zamani lakina sikuhizi hata ukiweka line nyingine, ile box kwa ajili ya kuingiza unlock code haiji; au...
wanna make some cash? Kuna website ambayo inakuwezesha kumake money online. Iko kama facebook flani ila a bit different. Unachotakiwa kufanya ni kupata 100 points tu na utalipwa 120 $(usd)...
Salaam wanajf,mimi napenda sana macomputer,natamani sana kusomea na kufanya kazi kwenye macomputer,nishaurini kozi nzuri na chuo kizuri naweza somea.nipo Arusha.
Jamani wananchi nimepata bonge la software ambayo inaweza kufuta na kubadilisha password ya windows yoyote...and can be downloaded for free!!..
chakufanya download hilo file ambalo ni file la ISO...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.