Nimenunua ibook G4 kutoka kwa mtu, Na nilikua nataka
1.kuifuta kila kitu katika mtindo wa kuformat,lakini sina Mac OS CD na wala sifahamu procedures to follow
2.Nikijaribu kuchomeka cd yoyote...
Wakuu habari zenu? Tafadhali naomba msaada wa ku-unlock T-Mobile HTC HD2. Nimeipata hii simu from us, ilishatumika lakini sifahamu last user alitumia service provider gani.
Nimetembelea google...
Hi all JF MEMBERS
I'm using a TOSHIBA Lap top running windows Vista Satellite, to connect I use a 3 mobile broadband dongle, the connection is fine and works well, however before it connects I am...
wataalamju naomba kujua haya masaa yanayotumiwa na jamii forum ni yawapi. Au LAPTONGA yangu kimeo. mfano sa hizi ni saa 1549 jJF ni 0234. Hii imekaje jamani
wakuu naombeni msaada wenu kwa hili tatizo langu.
Tatizo ni pc yangu haiditect modem ya vodafone zte k 3571-z before ilikuwa inafunction vizuri but now nikiconnect kwenye pc haifunction hivyo...
Wana Jf simu yangu ya Nokia 2700 browser yake ni kupitia Opera Mini tangu juzi imegoma kufunguka. Kwenye Menu ya simu, sehemu ya Web ukishusha hadi kwenye Browser uki-select haifunguki...
Habari zenu members wote wa Jamii Forums. Naombeni msaada wenu kwa yoyote mwenye ufahamu au kujua jinsi ya kuongeza download speed kwenye u torrent. Natanguliza shukrani zangu za dhati kwa yoyote...
Computer yangu imeficha(hide) baadhi ya mafile yangu MUHIMU yaliyokuwa kwenye ‘Desktop location' ndani ya drive C. Nikijaribu kuya search yanapatikana ktk 'directory' hii hapa…...
wakuu nina iphone nimeletewa ina firmware ya 5.0 nimejaribu ku jailbreak kwa kutumia redsnow imeshindikana.na nimejaribu ku idowngrade pia ime kua ngumu.
Her na baraka za mwaka mpya ndugu watz wenzangu,kwanza kabsa samahan kwan kutokana na kukosa uzoefu wa ku2mia jf cna hakika kama hapa n mahala pake kuleta hl swala,NAOMBA RADH KWA HL
Mm n kjan...
Wataalam naomba kujuzwa kama kuna lens(jicho) la deck za cd,dvd ambayo ni universal (malaya) ukiifunga kwenye deck inasoma cd zote bila kuchagua.Kwani kuna lens zingine zinachagua baadh ya cd...
Wakuu wa technology naomba msaada nina laptop aina ya dell inspiron ni mpya kabisa lakini problem yake ni kwamba kila ukifungua net inarespond for just a minute halafu inakat mawasiliana hata kama...
Wana wa JF mambo vipi? Natumai mko poa.
Nimekaa nikatafakari sana ni jinsi gani tutakavyopunguza maambukizi ya virusi vya ukimwi au waathirika wa janga hili na hapo ndipo liliponijia hili.Hivi...
Wadau wakati tunasubiri Windows 8 kuna hii feature imenigusa sana ya Windows To Go.
Windows To Go ni feature ambayo unaweza install Windows 8 kwenye flash/ext disk na kui-run tokea humo kama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.