Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Nimetuma Ps3 Game moja kutoka ebay..lakini kwenye BOX sijaiona nadhani niende kuchukua wapi parcel?? kama Posta ipi? na pia ninayo tracking number.je nikiwapa tracking number watanisaidia...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Communication, Science and Technology minister Prof Makame Mbarawa ( picture below) yesterday launched a state-of-the-art communication and information technology centre, dubbed ‘TANZICT and...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Jamani mwenzenu kila nikijaribu kufungua accoun yng ya gmail kupitia google napata msg hiyo hapo chini lkn web zingine zinafunguka naomba msaadakwa wenye utaalam This webpage is not availableThe...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Mimi ni kijana nina umri upatao miaka 20,ninasoma B.Sc IT nchini India ikiwa ndo semester yangu ya kwanza.Kuanzia nimefika chuoni nimekuwa na tatizo kubwa sana kwenye somo la programming na sio...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Click here to join us thanks: Official Page Tone Radio-Tz
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wadau, naomba kujua vyuo vilivyopo Dar ambavyo vinatoa kozi ya Graphics Designing, i.e., Photoshop, Illustrator, na In-Design. Natanguliza shukrani.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wadau nani ameshatumia Universal moderm? Nini tofauti yake na moderm nyingine (Yaani namaanisha kama nikiweka laini ya airtel na mwingine anatumia moderm ya airtel inatofauti?)? Regards
0 Reactions
0 Replies
882 Views
Does Sasatel modem operate with other ISP SIM cards? kindly advise! i would like to cary only one modem while in different locations with strong/weak signals.
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Nimeangalia remote control nyingi na simu za mkononi na kubaini kuwa kwenye kitufe cha namba 5 kuna kinundu kidogo. Nataka nielewe kazi yake ni nini au kina maana gani?.
0 Reactions
22 Replies
8K Views
Wadau natafuta cm aina ya sumsung galax pro mpya.mwenye nayo anicheki 0713-014400
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Ninajua huku kuna wajanja ambao wanaweza kunisadia maelezo ya jinsi ya kugundua kama simu ya samsung ni original au fake,tips zake.tafadhali
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Mwenye key ya window microsoft office 2010 masaada!!
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Salam wakuu, Kuna hii feature inaitwa push to talk kwenye simu. Naomba maelezo, yasiwe ctrl+c na ctrl+v yaani copy na paste.
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Stuxnet-Like Virus Points to New Round of Cyber War TEHRAN (FNA)- Internet security specialists have warned of a new round of cyber warfare in the form of a computer virus similar to the malicious...
0 Reactions
0 Replies
735 Views
WanaJF anomba ushauri ktk hili: Lap top yangu ni aina ya HP Pavilion dm3. Inapata sana joto ninapokuwa natumia ikiwa connected kwenye umeme, zaidi ni pale nikitumia internet. Na ikitokea hivi huwa...
0 Reactions
28 Replies
5K Views
Hey people,eti nitawezaje kupata service sijui ndio software ambayo unaweza uka record calls unazopiga na kupokea.Au ni lazima iwe automatic kwenye simu,msaada please.
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wanajf msaada jinsi ya kuflash n73
0 Reactions
3 Replies
773 Views
Tupo ktk mchakato wa ku implement e-LMS. Framework tunayotumia ni .NET(ASP.NET). Tunaomba ushauri wa Open source e-LMS ambayo tunaweza ku-customize kulingana na development environment yetu. Shukrani.
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Nina shida katika computer yangu, natumia windows 7 na katika kugusa gusa nilijaribu wakati fulani ku edit user acc na toka wakati huo kila nikijaribu kufungua folders:- my computer, documents...
0 Reactions
2 Replies
999 Views
Wakuu samahani naombeni msaada waharaka computer yangu naambiwa window nayotumia siyo orginal! sasa nifanyeje? ninayotumia sasa ni windows 7 proffessional! ila wakati nanunua machine CD yake...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Back
Top Bottom