Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Jaman simu ana ya nokia 3110 imegoma kusoma memory card.nimeambiwa solution ni hiyo jumper.je JUMPER NDIO NINI?
0 Reactions
0 Replies
735 Views
simu yangu inatumia android v2.2(froyo) kama kuna uwezo wa kupata equalizer.naomba mnisaidie.
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wadau kwa wale wasio na DSTV na hawataki kwenda kubanana vibandani mechi ya chelsea Vs Arsenal itakuwa streamed online.Najua wengine mnajua ila kwa wasiojua ni kwamba unaweza kuangalia mechi hii...
0 Reactions
13 Replies
4K Views
NDUGU zangu nimandika post ndefu juu ya kuflash modem za airtel na tigo bure coz sifanyi biashara. kwa wale mnaowasiliana na mimi kuwa mnaitaka software ya kuflash modem,basi jitahidini...
5 Reactions
20 Replies
4K Views
I have discovered that the window games was not installed in my computer during OS installation, the installed OS is legal one. Is it possible to install games for free now probably from windows...
0 Reactions
0 Replies
663 Views
Salamu wakuu. Ninacreate a wap community and nipo kwenye final touches lakini napata hii Error!!! message: Error! Cannot Connect To Database... This error happens usually when backing up the...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
This is a list of some of the most bizarre programming languages you will ever see. These types of languages are usually called "Esoteric Programming Languages". An esoteric programming...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Do you have some cool gadgets for home use ? How about construction equipment and technology ? Share it below on the FB page described below : New Facebook page about Projects, Construction and...
1 Reactions
0 Replies
825 Views
Wadau,nime connect keyboard ktk cpu ila hai operate ingawa taa zake znawaka kuonesh umeme unafka ktk keyboard!naombeni msaada wadau,nimekwama!ahsanten
0 Reactions
5 Replies
972 Views
WanaJF wenzangu mambo vipi? naombeni msaada wenu kwa wanaofahamu.Natumia simu ya Nokia E61i nitawezaje kuweka picha za matukio mbalimbali ya kufurahisha kuelimisha na kuhuzunisha hapa JF na hii ni...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Salaam wana Jf simu yangu ni nokia 2730-classic. bluetooth haifanyikaz bila kuweka line ya voda . Mimi ni mtumiaji mzuri wa tigo! naomba mnisaidie namna ya kusolve hili tatizo.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
wadau mim ni mpemz mkubwa wa laptop za dell na sony. Na katka ku2mia hzi laptop nimetokea kupenda ubora wa sony vaio. Je vp myie wadau eti kat ya hz brand 2 ipi kali
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari zenu wadau, naomba msaada wa kuelekezwa jinsi gani ya ku-save files mbalimbali ( mfano pdf files) kwenye email yangu ya yahoo. Naweza kutengeneza folder, tatizo linakuja jinsi gani nitaweza...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Natafuta iphone 3gs used ya kununua
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wadau mimi kuna kitu kinanisumbua. Hivi kama 'earthquake' ikitokea kwenye sayari ya mars, wataiita 'marsquake'? Halafu vilevile, what happens when an 'irresistible force' hits an 'immovable...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Nahitaji kuondoa HDD ndogo na kuweka kubwa zaidi katika laptop yangu, ni hatua gani muhimu za kuzingatia ili nibaki na data zangu zote, zilizokuwepo?
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Jamani kila ifikapo saa mbili usiku, Satellitite signaling ya ITV zinamekuwa na Scratching sana, hiyo inaendelea hivyo hadi asubuhi then zinarudi kawaida. mimi natumia Dish la tf6, jamaa yangu ana...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Naombeni msaada kwa anayejua hii kitu,yaani aliyefanikiwa kupata hii service(kuona hizi channel tano kwenye simu, TBC1,EURONEWS,B4U,SEESAW & SUPERSPORT BLITZ).Mimi nimejaribu sana kwenye simu...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Nina uhakika teknohama imekuwa mno. Sasa hivi kuna watu ni mahodari ktk fani hii. Mimi kuna mtu natafuta namba yake ya simu. Jina lake nalifahamu. Je inawezekana kuipata namba yake bila yeye kujua.
0 Reactions
30 Replies
12K Views
Back
Top Bottom