For Sale, All Brand New:
1) I have two iPad 2 (BLACK AND WHITE) for sale.
iPad 2 64GB WIFI+3G WHITE
iPas 2 64 GB WIFI +3G BLACK
Both brand new, sealed, with original Apple receipt.
2) The...
Katika pita pita zangu njiani nilikutana na nondo za uhakika za "WEB APPLICATIONS DEVELOPMENT" nikaona wandugu niwashirikishe.... Jichukulieni maujuzi tanzania isonge mbele kunako website...
Wanasayasi na wanatekenolojia.
I would like to share a very interesting BBC doccumentary video wich i have just watched explaining scientifically how we are formed to who we are .
Some of the...
Mambo vp wakubwa?
Natumaini wote wazima
nına flash nımeokota sasa nataka kuıformat lakinı ına pın code
kwa wataalamu labda kuna softwıre yeyote naweza kutumia...
Wataalam heshima mbele.
Tangu wiki iliyopita nikiwasha laptop yangu, wakati wa ku upload inatokea blue screen of death na maandishi yafuatayo:
"The application has failed to start because winsrv...
Summary
In the quick IDF 2011 notes category, we wanted to share a humorous exchange we had with an Intel Corp. (INTC) engineer. Joshua Linden-Levy is a "Mechanical Pathfinding Engineer" at...
Ebwana ipo system ya hapa TanzaniaKwetu kuwakutanisha Advertisers na Publishers pamoja bila manual work gonga hapa Jigambeads,na vilevile Bloggers na Advertisers gonga humu JigambeBlogs,jaribuni...
Nimefanikiwa kulink credt card yang na paypal. Sasa swali linakuja,pale kwenye shipping adress ivi unaweka adress yako ya posta au? Maana kwa wenzetu hususan marekani hua kuna street adress kabisa...
Jamani wadau mimi ni mpenzi sana wa sports hususan football both locally and international. Je ni blogs au forum gani naweza kupata information za soka achilia mbali na hizi ninazozijua:
1...
Kumbe watanzania nasisi tupo imegundulika hiv karibuni imezinduliwa system inayowaunganisha website(watangazaji) na watangaziwaji
ambayo imerahisisha mzunguko kati yao na imetengenezwa na...
Kama kila kitu ni online, sasa tumefika pazuri tanzania. Au ni baada ya kusikia mkonge waja tz?
Wadau niambieni, ni kipi bado kwa hapa tz hakipo online?
mawasiliano yangu : a.rashid@jigambe.com au...
Wadau naomba kujua kuna frij hapa linanichanganya hili frij lina pande mbili juu na chini, juu ni nafasi ndogo na ina sehem ya FREEZER TEMPERATURE CONTROL ambayo ni minimun had max huku ndiko maji...
watanzania tumekuwa walalamishi kuwa hakuna watu innovative wa kufany vitu vipya. Nikaona nijaribu kufanya survey kama ikitokea mtu aka develop software itanunulika?
Here we go, ungependa kuona...
Wadau,
Nimepata ipad2 3G ambayo iko locked kutumia sim card ya japan (Softbank network). Je kuna uwezekano wa kui-unlock ili ikubali kutumia mitandao yetu ya kibongo? Je hii huduma ya ku-unlock...
Jaman bidhaa za sasatel nyingi zinaonekana ni feki . Mimi ni miongoni mwa wateja wa sasatel niliye uziwa mordem na min-laptop bomu .plz naomba ushauli wenu nifanyaje?
Wana JF habari za wikienda. kwa wale wataalam wa simu za mkononi naomba msaada wenu. mwenzenu nimekuwa nikitumia simu aina ya nokia E5 kwaajili ya matumizi ya internet hasa ninapokuwa mahali...
Haya sasa duuh hiii kitu ni "NOUMER" hehehe kwanza cheki video yake apa chini;
Then sasa wale ambao hawana subra unaweza download demo yake chini kabisa baada ya specs na maelezo ntaweka links...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.