ndio wakuu j2 njema. kwa leo naomba mkuu yeyote mwenye ujuzi waku crack hizi console games eg. ps2 ps3 or xbox kwenda kwenye pc mode. simaanishi kwa ku2mia emulators lyk pcsx2 or VGS but kwa other...
Wadau google is my best friend so msishangee naleta maswali haya ambayo wengi wana majibu lakini kuna baadhi tuna mtazamo usio sahihi kuhusu neno Server. So usishanage mwisho wa thread hii...
wakuu Nilikuwa nasafisha laptop yangu kwa kutumia foam cliner Baada ya Kumaliza kusafisha nikiwasha laptop yangu keyboard haifanyi kazi Tatizo Linaweza kuwa ni kitu gani?
Naombeni msaada,natumia window 7, kwenye ki lap top changu,cha ajabu niki install safari apple browers inashindwa kufunguka inaleta sms hii'untitled', it fails to contract with...
Wakuu naomba msaada wenu,
PC yangu ilikuwa imeshambuliwa na virus, nika scan na kupata virus wengi mno, baada ya kumaliza kuscan untvirus Avast ikanitaka ni restart mashine ili i-scan safe...
Habari?Naomba msaada wa jinsi ya ku install Oracle 10g kwenye Windows 7.. Nilikuwa nimeinstall lakini kwa sasa nimeshindwa ku log in na kuna errors kibao.. Naomba msaada, hii ni kwa ajili ya...
Can You Leave Your Laptop On All the Time?
Is your laptop on since last evening? Have you shut it down at all? Do you often leave your laptop on until the battery drains out? Do you often find...
Katika sayansi watajwa hapo juu wanahesabika kwamba wana mchango mkubwa. Tukianza na NEWTON anajulikana sana uvumbuzi wa laws of motions na pia wengi wanafahamu kuwa amegundua hesabu ikiwamo...
Ndio wakuu, nafkiri wote tupo sawa na mambo yote 'sayona'. kwa wale wapenz wa novels za aina zote, vitabu vya arts,science,mapishi,3d moddeling,programming,fashion etc. unaweza pata vitabu vyako...
Ndugu zangu wa JF mambo vp natumi mu wazima naombeni msaada kwa anayefahamu au anayeweza au akanisaidia kunidownloadia huu wimbo naupenda saaana.Ni wimbo wa gospel kutoka nchini Zambia unaitwa...
Laptop yangu ina tatizo....
Ninapoweka kwenye umeme na kuiwasha inafanya kazi kwa muda fulani huku battery ikiwa inacharge kama kawaida lakini ghafla huwa inaacha kucharge kuwa inarun on battery...
POST AM LOOKING FOR: DATABASE ADMINISTRATOR
Platforms: ORACLE/ SQL SERVER
LEVEL: INTERMEDIATE
Nina degree ya Computer Science na nina experience ya mwaka mmoja ktk hii fani. Pia ninauzoefu na...
Dishi langu aina ya MEDIACOM MFT-930plus limepoteza rangi lakini picha zinaonekana. Nimejaribu ku search channel upwa lakini rangi haikurudi, sasa sijui ni tatizo la ndani au la. Mwenye uelewa wa...
wakuu zain wananiibia bundle kila nikijiunga muda si mrefu wanakata zote . je nitawezaje kubadili modem yao model ya huwawei E1550 iweze kutumia line zozote ata tigo na voda?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.