Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Kuna dialog ambayo inajitokeza mara kwa mara kwenye PC yangu ambayo kimsingi huwa inanisumbua sana. Dialog hii huja chini ya heading hii:- "MESSAGE FROM WEB PAGE". Content za dialog hii zinasomeka...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Waungwana naombeni msaada. Kuna dada yangu amesahau phone lock code ya iPhone yake. Je, inawezekana kuiunlock? Wataalamu wa Jigambe, michuzi, Jf na site zingine nawaomba msaidieni huyu dada...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
lap top yangu hp dv 2500 ilikuja na win Vista,nikatoa nikaweka win 7 pro.sasa nikiiwasha ama kuizima inatoa sauti kama ya ku click vile,pia nikiwa natumia wakati mwingine ina sleep bila sababu...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Makey ya Kerspersky tunaaomba vimeo vyetu vitazima na mtakuwa hamtuoni jf!!please do ze needfull!!
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Natafuta fundi wa computer,my pc ina tatizo,inahitajika motherboard mpya,aina ya motheboard inaitwa ASROCK G31M-S MOTHERBOARD,msaada Wakuu,kama yupo ani PM,asanteni
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Windows 7 has been a big hit for Microsoft, although it wasn't too hard to improve upon the bad reputation that its Windows Vista predecessor received. On top of that, Microsoft has earned a lot...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Nimeweka antvirus kwenye pc kespersky 2011, ninapowasha computer na kufungua internet ni update in run mpaka 20% then computer ina restart./ sielewi tatizo ni nini.
0 Reactions
0 Replies
663 Views
Hivi tovuti za hapa TanzaniaKwetu zinamsaada upande gani hasa kwa sisi watanzania! Ninyi wazalendo mnamchango gani?
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wapendwa wanajf,. kwa sasa ni takribani miezi mitatu tangu ninunue hiki ki'laptop changu., tatizo nililonalo hadi sasa sijafanikiwa kuwasha wala kutumia camera ya hii laptop yangu,.,naombeni...
0 Reactions
21 Replies
2K Views
Vijana creative na hard workers ndo kauli mbiu ya tanzania ya wana wa .com, jamii forums big up kwa creative yako jigambe team big up,michuzi blog big up, zoom tanzania big up na wengine wengi na...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Ninayo simu aina ya HTC lakini ghafla imepoteza sauti na kwenye screen kuna alama ya headphones ambayo nimejaribu kuitoa nimeshindwa, sasa nimeshindwa kueelewa nimegusa wapi mpaka kuwa hivyo,na...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Samsung galaxy s3-2GHz quadcore processor,1.5Gb RAM,32GB inbuilt storage,10megapixel camera with full HD 1080p. video recording capabilities,4.65 inch superAMOLED 1280*1024p resolution...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
wakuu naombeni msaada wenu wapi naweza kupata installation CD ya printer HP Deskjet 6540-40 series kwa hapa dar es salaam, ahsanteni
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wakuu, mm ni mteja wa TTCLBB, Siku za hivi karibuni kumekuwa na tatizo kubwa la Network yao kuwa SLOW sana hasa nyakati za mchana, Kila napopiga simu kwao hakuna solution ya kudumu zaidi ya...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Ninyi mnaonaje tukifanya uchaguzi ujao kwenye net!
0 Reactions
6 Replies
1K Views
niaje wakuu? jumatatu nyingine. leo naomba nichangie kidogo kuhusu mobile IM apps. kwa wale wenzangu ambao hatuna smartphones zenye uwezo wa kuchkua apps kama BBM for bb,watsapp etc. ukiacha...
0 Reactions
0 Replies
747 Views
Mambo wakuu je kuna mtu anaweza kunisaidia activation key ya QB 2006??
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wanajamii jana nilikuwa kwenye daladala nikawasikia jamaa wanazungumzia kwamba kuna dekoda zinatoka uarabuni zikiwa na malipo ya mwaka mzima, na dekoda yake inachannels nzuri sana hasa za soka na...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
i have a problem on my nokia 2680s-2, my phone can come on but after few sec it goes off bye it self any body with a working solution please help soloution
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakuuu Nimeandika mara nyingi hapa na nitaendellea kuandika labda kuna siku wahusika wataaambiwa. Zaidi ya kuandika kuna siku nilishwapigia simu. Hili ni shirika shirika la TBC linalotakiwa...
3 Reactions
21 Replies
3K Views
Back
Top Bottom