Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
msaada kwa anayeweza kunchakachulia hiki ki software kupitia IMEI 355720027407513 natumia OS60v2.nashukuru.
0 Reactions
6 Replies
4K Views
lets discuss answer to these three questions: 1. What is the universe? 2. What composes (makes) the universe? 3. What is the shape of the universe?
0 Reactions
43 Replies
3K Views
wakuu habari zenu, nina shida na original CD ya Windows 7 Ultimate 64Bit nataka nibadilishe windows katika laptop yangu, ninayo pirated windows 7 lakini nataka iliyo from an original windows cd...
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Wadau, nimekuwa nikitumia Yahoo Mail kwa muda lakini hapa karibuni walilazimisha ku-up date e-mail yangu na tangu hapo ziwezi tena ku-attach files kwenye e-mail. Kama kuna jinsi naweza fanya...
0 Reactions
10 Replies
558 Views
Wakubwa kwa mwenye kujua hii error tunaondoaje naomba anisaidie!ni hivi: Nimejaribu kuestablish categories pamoja na Articles zake kisha nikacreate link katika main menu hizi article.Baada ya...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
hapa kwangu kwa siku 5 sipati Star Tv na TBC kupitia dish wamekuwaje? au ni Receiver yangu? wenye kujua waseme jamani
0 Reactions
22 Replies
4K Views
Habari zenu wana jamii, nitafurahi sana iwapo nitapata msaada toka kwenu maana nimekuwa nikifuatilia sana mambo yanavyoendelea humu ndani ya nyumba hii na nimegundua kwamba watu wengi huwa...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
kwa wataalamu wa computer nisaidieni. Yani nikiwasha laptop na kuweka paswad inawaka kama kawaida then inaandika log off nakurudi mwanzo au inabaki ikionyesha uso wa kioo(scrensev)
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Nikiwa kama mdau mkubwa wa JF Tech, Gadgets & Science Forum naomba kutoa pole nyingi kwa ndugu na jamaa wa waliopoteza maisha katika ajali ya meli huko Zanzibar. Najua hapa si mahali sahii saaaana...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ndg zangu salaam, nimekuwa nikihangaika kwa muda jinsi ya kuihost au kuitupa database kny mtandao maana html pages nishazitupa imebaki website tu nisaidieni wanajf hayo maujanja
0 Reactions
2 Replies
1K Views
program zote zinafunguka na adobe reader nifanye nn wana jf?
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Salam Wadau! Naomba msaada jinsi ya ku-unlock password kwenye Memory Card ya simu. Niliipoteza ikiwa na password na sasa nimefanikiwa kuipata tena ila nimeshindwa kukumbuka password yake...
0 Reactions
3 Replies
976 Views
Hii ndiyo simu ambayo imeuza kupita aina nyingine za simu duniani. Au uamini soma hapo chini: POPOTE TZ: NOKIA 1100 a.k.a NOKIA YA TOCHI; ''UNAIKUMBUKA??''
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Wadau laptop yangu yenye windows xp imeshambuliwa kila nikijaribu fanya chochote hata kwny control pannel sms hii inajitokeza mbali na kufanya jitihada mbalimbali but nmekwama, 'Windows cannot...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
plz wadau, nikitaka kufungua applications kwenye cm yangu ya nokia 6500 slide up inakataa inanmbia suportive file , nothing to display, naomba mnisaidie kusolve hii kitu
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakuu Mambo Vipi? Natafuta Miniserver ya HP ambayo ina window ya 2003 mpya au used Msaada Pls
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wadau. Naombeni msaada wa antivirus ambayo naweza kuitumia kwenye kimeo changu Nokia XpressMusic. Nimekumbana na virus anafuta file moja baada ya jingine na kibaya zaidi hata pale kwenye option...
0 Reactions
10 Replies
4K Views
wakuu habari zenu......kwa bahati mbaya nipo sehemu ambayo hakuna 3g internet na hakuna ttcl broadband...nimeanzisha internet cafe yangu ya kizushi ya kutumia moderm ila nilitaka nitanuke...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wadau naomba mnisaidie namna ya kupata software ya ku convert Mafaili ya FLV kuwa MPEG Nasubiri toka kwenu,asanteni sana
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Back
Top Bottom