Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Salaam wana JF wote! Nimekuwa nikitumia internet ya Modem ya Zain kwa kama miaka miwili sasa. Juzi nimeshangaa sana baada ya kugundua kuwa ktkt "My Computer" badala ya kuonyesha Zain-e-Go(D) sasa...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Guys nina mobile application ambayo inaweza kutuma sms kwa group of people. mf inaweza kutuma sms moja kwa watu zaidi ya 1000 af kila mtu akadeliver kwa specification tofauti mfano Hello Gerald...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Habari Great Thinkers, Nina uhitaji wa software kwa ajili ya huduma za mikopo, wapi naweza kudownload full versions za software hizo? Please help.
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Habari wana JF. Wiki inaisha sasa hapa mbeya STAR TV kupitia satellite dish (hasa haya ya futi 6)haishiki kabisa. TATIZO LINAWEZA LIKAWA NINI?. naomba mwenye data na majibu atumwagie hapa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Mwenye key za windows server 2003 naomba plz
0 Reactions
0 Replies
763 Views
Habari za wakati wana TEKENOLOJIA.Kuna mkanda wa VHS Ambao nataka uje kwenye DVD.Je nitumie njha gani kufanya hiyo kazi?PC tayari ninayo. Naombeni Msaada Jamani.Ili niweze kufanya jambo langu...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Msaada kama kuna software ya ku watch Tv simu ya Nokia 5800xm
0 Reactions
23 Replies
3K Views
Nimejaribu kudownload hii game ila imekuja demo tu hivi kuna uwezekano wa kupata iliyo full for free???? and how.... and if no CD za hii game zinapatikana kwa tsh?? please ua help
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Hi, I'll show you how to Install "Lion OSX" into a PC. It's quite kinda easy to install Mac OSX, the most difficult part is to get the correct or right "Bootloader" that will allow us to run...
1 Reactions
5 Replies
3K Views
Wakuu sasa TBC iko mtandaoni pamoja na ITV kwenye tv africa Cha kufanya nikudownload hako ka software kao na kudonate dola 7 kwa mwezi mzima. Enjoy!!
2 Reactions
19 Replies
17K Views
guys mm nime root simu yangu na nimeweza kuiwezesha simu yangu inayotumia android kuweza ku install applications kwenye memocard after kufanya partion kwenye memo card. nlikuwa napata shida sana...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wakuu vp nisaidieni jinsi gani ku-setting up intaneti ya bure kwenye simu na laptop?
0 Reactions
120 Replies
13K Views
wana jf nahitaj msaada wa kujua znakouzwa pad za game za computer nmezunguka maduka mengi bila mafanikio kila napoenda zpo pad za playstation pekeyake.yeyote mwenye kunisaidia ntashukuru sana my...
0 Reactions
7 Replies
5K Views
jaman waungwana wanaojua hizi mambo, kuna kitu nimekutana nacho kinaitwa rooting hasa kwa watumiaji wa os ya android. nimesoma kwamba uki root simu the phone can do what it couldnt do mfano some...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Computer yangu ni toshiba na natumia Window 7 kuna wakati nilibadili window kuanzia hapo Camera haifanyi kazi nashindwa nitype nn ili nigoogle kwa ajili ya kupata drivers/ software kwa ajili ya...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Naomba kuuliza je naweza kuunganisha solar bila charger control?
0 Reactions
0 Replies
691 Views
Juzi nilimwagia laptop yangu kinywaji kidogo ikaniletea mizengwe haswa. Ilijizima alafu kila nikijaribu kuwasha inawaka kwa sekunde kadhaa alafu inajizima yenyewe...sikujua kama inahusiana na...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Heshima Kwenu Wakuu, Jinsi ya Kuingiza salio, Piga 180,wakati namba itakapopokelewa ingiza namba za kurecharge voucher. Mfano, Piga 180, alafu ikipokelewa piga tena *104*namba zako za vocha#...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
ndio wana Jf ni ijumaa nyingine tena we thank God for being alive. wakuu mimi leo naomba msaada kuhusu hii social network ya twitter. ni majuzi tu nilijiunga ila kwa kwel kwa kias fulani naona...
0 Reactions
2 Replies
877 Views
Jaman Naomba Msaada Wa Jambo Hili. Kuna office ambayo ni kama HQ iko hapa Dar es salaam, then kuna Branch Mwanza na Arusha. shida yangu nataka branch za Mwanza na Arusha ziweze kuacces Database...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Back
Top Bottom