Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Wakuu, for once lets think outside the BOX! Kwani DSTV ndio option peke yake? DSTV hatuipendi kwa sababu gharama za ziko juu, kwa wapenzi wa mpira (latest movies na series una download kwa...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Ngudu wana technolojia, naomba kujua kama kuna software yoyote inayoweza kutafsiri kutoka lugha moja kwenda nyingine kwa sauti, namaanisha hivi kama nikiwa na audio file la kifrance au kijerumani...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wadau naomba msaada sim yangu inakata network na kurud na kila ikikata inaandika sim card registration failed then check info service sasa nashidwa kujua chanzo cha hili tatizo na kwanin hivi!¡...
0 Reactions
4 Replies
4K Views
jamani nina simu ya nokia nataka niiunge kwa internet sasa ishu ni nashindwa kujua ni nokia namba ngapi mfano nikia 6020 au .... mwageni maujanja
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Katika kile sekta ya technology, kuna mabo yanafichwa. Hizi i codes 10 ambazo haupaswi kuzijua Codes 10 ambazo haupaswi kuzijua - iCombined | Together We Make it Shine
0 Reactions
2 Replies
1K Views
habari wana jf hivi kuna software gani ktk ubuntu ina fanana na( IDM ) internet download manager ambayo ina detect kama IDM ?
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Live stream http://www.twitch.tv/bigblockgames/ Game yenyewe 14 Day Sprint - Coffee Break Hero - Big Block Games
0 Reactions
0 Replies
889 Views
Sehemu ya ujumbe aliowatumia wafanyakazi wake aliyekuwa CEO wa yahoo carol Bartz kuwajulisha kuwa katemeshwa mzigo ..........To all, I am very sad to tell you that I've just been fired over...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
kwa wale ambao hawajawahi pita kwenye link hii SERIALS & KEYS - UNLOCK THE WORD! unaweza kujichotea keys nyingi tu na kuna ka column upande wa kushota kameandikwa partners kametoa link ya site...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Username: EAV-48894407 Password: 36pcuuvnjs ENJOY!!!
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Hamjambo wenzangu waTZ mlio majuu?? Naomba msaada wenu, tafadhali. Kama ume-subscribe kwenye Filesonic, Fileserve, etc naomba password tafadhali. Ku-subscribe ukiwa TZ ni ngumu kwa sababu ya...
0 Reactions
4 Replies
614 Views
Jambo hili linanishangaza sana ninavyofahamu mimi tafiti nyingi za kisayansi zinafanywa baada ya tafiti husika kupata fund. Baada ya tafiti husika kukamilika ili mtu uweze kupata taarifa kutoka...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Nataka kununua LED TV kati ya Brand zilizotajwa hapo juu, lakini mi nimechanganyikiwa ninunue ipi kati ya hizo? naomba ushauri wa kitaalamu na uzoefu katika hizi led tv mbili. Niende kwa Sony au...
0 Reactions
7 Replies
7K Views
Wataalam Nimetengeneza Web Driven Database kwa ajili ya Ofisi yangu ambao ina wafanyakazi kama ishirini hivi. The Database is up and running. Katika plan yangu nimededicate computer moja ambayo...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
iPhone 5 Website Leaked - YouTube
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Naomba msaada, naistaall OS Win XP Professional SP2, inakataa kukubali its Licence keys, anybody help please.
0 Reactions
2 Replies
935 Views
Blackberry ni kipi hasa ilicho zizidi simu nyingine?
0 Reactions
83 Replies
11K Views
Aisee jamani technoligy imeendelea.... hebu angalia hapa Audi A9 inajitengeneza na kujibadilisha rangi yenyewe! - iCombined | Together We Make it Shine
0 Reactions
1 Replies
883 Views
Nisaidieni wanaJF wenzangu kwenye hizi tv za LCD ambazo baadhi unakuta wameandika full hd na ready hd ni nini tofauti zake??
0 Reactions
1 Replies
6K Views
WanaJF nimerudi tena bado naomba msaada wenu! Nilikua siwezi kufungua external Device yangu ikidai niiformat, nimepata ushauri mbalimbali na nikaufanyia kazi, kilichotokea baadhi ya software...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Back
Top Bottom