Jamani wataalamu naomba kuuliza. BOOTABLE CD NDIO NINI?INAFANYA KAZI GANI NA WAKATI GANI?PIA INATENGENEZWA VP?NAOMBA KUFUNDISHWA TOKA KWA WATAALAMU.
Msaada jamani!
Habari wana Jf,okay mimi nimenunua moderm​ ya voda,sasa nilichokuwa naomba kwa wataalamu ama wanaofahamu jinsi yakufanya ili uweze kutumia moderm hii kwa mitandao yote kwa maana nyingine...
wadau nimekua nikitumia laserjrt 4050N printer kwa muda mrefu biala matatizo...ila jana wakati naprint ikagoma na kunipa sms ya "50.2 FUSER ERROR" nimejaribu kusolve hili tatizo siku nzima...
wakuu hii habari niliskia bbc,kwamba huko kenya wanapata mwanga wa taa kwa kutumia chupa ya maji,sasa nauliza kuna mtu ameona hii kitu inavyofanya kazi?
Salam zenu wakubwa,
Naombeni msaada kwa desktop yangu haitaki keundelea kuwaka mara niiwashapo ikfikia inaonyesha neno 'welcome' haiendelei zaidi ya hapo hata nikisuburi zaidi ya nusu saa au zaidi...
Wataalamu naombeni msaada wa jinsi ya kuzi-block e-mail usizozitaka mfano hizi zinazotangaza viagra n.k maana siku hizi nimekuwa nakerwa sana na hizi email maana imekuwa ndio fasheni ukifungua...
Hello
Sijui kama wadau mmeshaona hii software toka adobe, ni bure na hakuna writing codes at all kama umeshaiona basi pole kwa kupoteza muda wako wakusoma hii post, tutorial follow this link from...
WADAU NINAOMBENI MSAADA NINA LAPTOP INSPIRON 600m inashida na haiwaki kila nikiunga adapter yake adapter inazimika taa ya kijani inayokua inawaka sijui ni nini tatizi nimejaribu kufungua ndani na...
Jamani wataalamu naomba kuuliza.Nahitaji kuwa naitumia computer yangu aina ya dell kuangalizia steshen kama tbc,chanel 10 nk.Je nahitaji nini na nini ili niweze kuangalia tv kwa kutumia computer...
How to Run Mac OS X v10.6 (Snow Leopard) using VMware on an Intel PC
If you salivate to the thought of using Mac OS X and just want to experience its wonders but couldn't afford to buy a Mac is...
wakuuu naombeni msaaaada tafadhali..... kuna mtu ameihack email yangu ya yahoo... amebadilisha kila kitu from my password, security question na altenative email niliyoiweka.... nashindwa kujielewa...
Jamani kwa wale wapenzi wa katuni ya star wars,ma programmers wa microsoft waliitengeneza katuni hii na kuificha ndani ya windows xp.
Sijui walikuwa wanacheza au la kwa sababu hadi leo sioni...
Kwa wale watumiaji wa Vodacom kuna droo za aina mbili zinaendeshwa kwa wakati mmoja; moja kushiriki ni bure (ya LCD TV) na nyingine inalipiwa (ya TSH 11m). Kushiriki ni hiari ya mteja.
Nilijaribu...
Tujaribu kubadilishana uzoefu wakuu, kwa wale wanaotumia ISP ttcl,kwa huduma ya dedicated-specifically kwa speed ya 512mbps bei elekezi n ngapi? Pia itakuwa vizuri kama mtu mwenye habari za ndani...
JAMANI WANA JF,
Kwanza kabisa nashukuru wana JF kwani kupitia forum hii nimejifunza mengi.
Nimekuwa nikilalamikiwa na marafiki zangu kuwa wanapokuwa online kwenye email, wananiona kwenye...
Hey, welcome to another funny tricks on computer. This will show you how to make fun with your computer when you got bored surfing some boring website in internet
1) Calculate by Your web...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.