Wakuu habari zenu?
Nimenunua hivi karibuni modem ya vodacom aina ya ZTE K3570-z. Nimefanya installation successful. Nikichomeka modem kwenye laptop yangu, inakua detected na network ipo vizuri...
Hello guys,nowdays there is no need for buying a Playstation,Xbox,Gameboy Advance,PSP or Nintendo Wi.What you need is a powerful computer(laptop) and a right emulator which can be obtained from...
Wana jamii nisaidiene kama kuna any apdat ya software ya kuanilock modemu hizi
pia kama kunamwajamii mwenye software ya Huawei modem unlocker 5.7.7 nimejaribu 5.81
nimeunlock temporary. :hail:
Salaam Ndugu wana JF!
Naomba msaada wa software ya kurecover data kutoka kwenye External Disc, Flash etc.
Nimejaribu kudownload ''File Scavenger Version 3.2'' lakini nimeshindwa kuitumia...
Wadau mimi nimesoma java programming pamoja na c programming na sasa napiga php!kwenye java cko fresh kivile ila c afadhali!!sasa kuhusu mobile application naipenda sana!ila naomba ushauri wenye...
Haya wadau jiandae kupaa sasa na muondokane na foleni,sikuhizi barabara hazina maana na matrafiki watakufa njaa
Tukae mkao wa kula, wanasayansi wanazidi kufanya mambo yao, sasa wanatuletea...
Habari zenu wanaJF,
Nimependa sana mchango wenu katika kuelimishana kuhusu mambo ya teknolojia,hasahasa katika kuchakachua modem
Nina laptop yangu aina ya DELL PRECISION,inafanya kazi vizuri sana...
laptop yangu window vista inachelewa ku-start up wakati ninapoi-switch on inachukua takribani dk mbili ndo on, naomba wadau mnijuze kuna tatizo au ndo window vista inavyofanya kazi ,naomba...
WanaJF wenzangu pia watanzania wenzangu nimekaa nimefikiria sana hadi nikaona nililete hili mbele yenu ili tulijadili kwa pamoja maana naami palipo wengi hapaharibiki jambo.
Hivi mfumo huu wa...
Hivi karibuni, takribani miezi mitatu au zaidi, nimekuwa nikipokea e-mail kwa nyakati tofauti toka kwa watu mbalimbali ambao baadae nilikuja kugundua kwamba hawakuwa na maelezo ya ukweli kwangu...
Habari JF,
Naomba mnisadie jinsi ya kufanya,nikiconnect TV 40" as Monitor huwa haionyeshi full screen,inaonyesha inusu(Juu na chini,kama 28" ndo inaonekana) zisipati zote 40",Nimejaribu kuchange...
wadau nimeshtushwa nilipoifungua website ya TCU usiku huu na kukuta message hii "HACKED....WEBSITE HACKED BY TAJINDER TECHNICAL RAINBOW THE GROUP OF INDIAN HACKERS BE AWARE FOR NEXT TIME. JAI...
Nearly two-thirds of online adults in the U.S. use social networking sites, and they're generally pleased with the experience, according to a new survey by the Pew Internet & American Life...
Una iPHONE ya zamani ? (3g au 2g).. na kama huitumii.. Niuziye !
Ill buy it , if its working or with any major/minor fault to be mentioned before selling...
PM me ..
Habari zenu wanajamii forum,nahitaji msaada wenu ili nijue ni jinsi gani ntaweza kupata full access ya internet kwani hivi karibuni nimebaniwa access kwa kuwekewa Hotspot,yani nikitaka ku browse...
Nimekwenda simba net jamaa wamenipa packages zifuatazo:
bronze -500mb price: $250 per year
gold - 1 GB price: $500 per year
platinum - 2GB: price $900 per year
nina laptop ambayo ina GB 200, je...
Nimekuwa nikitumia modem ya Zain kwa muda mrefu bila shida yoyote sasa leo nimeshindwa kuelewa kabisa! Yaani nimejaribu kufungua internet thru "Zain e-GO" ikanigomea kabisa!Modem ilikuwa kama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.