Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
wakubwa habari zenu naomba mnisaidie maana ya ABS na inafanya kazi gani katika gari. nawasilisha
0 Reactions
4 Replies
1K Views
  • Poll Poll
Thank you for your time, one of the schoolbook classic's objectives is to make schools open and social, through web and internet. The main themes here is to create a centralized way of...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
wakuu habari zenu laptop yangu ina tatizo la sauti inakuna kama inakoroma hivi, mwanzoni ilianza kwenye speaker moja na sasa imahamia kwenye speaker nyingine, hili linaweza kuwa tatizo la...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Kwa mujibu wa wikipedia inasemekana kuwa nchi ya china inaongoza kwa uzalishaji wa magari ambapo kwa mwaka 2009 china ilifanikiwa kuzalisha magari 18,264,667 kwa mwaka ambayo ni mara mbili ya...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Local Area Networks are widely used to share resources and exchange information by connecting personal computers and workstations in company office and factories. A single building or campus of...
0 Reactions
3 Replies
887 Views
Nina laptop aina ya Samsung VM7000 Series yenye specification hizi.Intel Cerelon PROCESSOR 615Mhz,RAM 128MB.Je,naweza kubadilisha processor ili niweke japo ya 1.5Ghz? Au naweza kuongeza RAM hadi...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
WanaJF wenzangu mambo vp natumai kuwa hamjambo.Japo sii sehemu ya biashara ila naomba mnisaidie kwa waliokwishanunua au wanaofahamu bei ya hizi LCD tv aina ya Sony inch 42 na 52 pamoja na Samsung...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Laptop yangu inafunguka kama kawaida. Ikifikia wakati fulani, keyboard inaji lock. Mouse haifanyi kazi, pointer ina simama, It means siwezi endelea na kazi yoyote mpaka kuboot. Nimefuta almost doc...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Please Jf members vote for our Mountain Kilimanjaro to be among of new seven wonders of the World of nature let forget all our differences let unite for our Nation. I can see the ministry of...
0 Reactions
1 Replies
849 Views
Umeshaonywa, kabla wapopo hawajakuingiza mkenge! Beware of the 'Mrs. Gaddafi' email scam. (Credit: Vircom.com) Don’t be fooled by ‘Mrs. Gaddafi’. This is the warning against a ‘Mrs...
0 Reactions
3 Replies
993 Views
modem mpya za tigo zenye customized firmware pia na zile za safaricom za kenya. zimekuwa customized kiasi ya kukataa kufanya software update au ku-update firmware. kuna walio wahi kuharibu modem...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Wakuu wa jukwaa hilı natumaini wote ni wazima ndugu zangu naombeni mwenye pincode za sonyericsson w715 anisaidıe,sımu nimeletewa kutoka Norway.. Nawasılısha.
0 Reactions
7 Replies
1K Views
i hav been luking for these devices for long time. pls adress any location where i can get it.
0 Reactions
4 Replies
1K Views
The Communications Commission of Kenya (CCK) has maintained that it will enforce a directive to mobile operators to block all counterfeit phones in Kenya. Acting Director General Francis...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Heshima mbele Nimeona mara nyingi nikitumiwa e mail kutoka kwa jamaa mmoja imekuwa napicha yake inaonekana ukififungua hiyo e mail yake je, nikitaka na mimi kuweka ili picha yangu iwe inaonekana...
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Waheshimiwa naomba msaada natafuta laptop mpya i mean not used au notebook ambayo ni nzuri na kwa bei nafuu nani anajua wauzaji wazuri na wenye ubora na ambao ni trusted. please naomba ushauri pia...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
ndugu zangu nikiwasha simu yangu inaonesha "jvm error 545" anayejua tatizo ni nn naomba msaada nifanye nini hapo!
0 Reactions
1 Replies
807 Views
Naombeni msaada jinsi ya kuweka mistari kwenye menu list yangu. Mfano tembelea wabongoo.tk jamaa panga page links zake kwa mistari fulan nimehangaika nimeshindwa . Naomba mawazo kwa wewe great...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Nataka dogo asome kwa hawa jamaa Dipoma ya ICT hivi wako sawa au ndivyo vyuo vya mitaani nimechukua fomu tayari wanasema sh 900,000 kwa mwaka Kama kuna mtu amesoma hapo asaidie kwa hili...
0 Reactions
11 Replies
6K Views
Kuna mwanJF amesema anatumia Modem zilizo locked kwa laini mbalimbali. Yaani locked modem ya tigo kwa laini ya voda ktk ubuntu. Sijajua kama ni kweli. Nimejaribu kupata tools nifanye jaribio, so...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Back
Top Bottom