Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Wakuu naomba mnisaidie. Computer yangu juzi usiku ilizima ghafla wakati nikiitumia. Ilikuwa hivi, nilikuwa natumia kutyp kazi yangu, nikataka kufungua file jingine ambalo nalo ni microsoft word...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
habari zenu wana jf ninatatizo kuhusu card reader yangu ninayotumia kuingizia nyimbo kwenye simu hivi karibuni nikijaribu kuingiza nyimbo inaniambia Remove write protection so sijui tatizo ni...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Wadau nimeistall ubuntu 11.04 alongside windows 7, yaani siafanya patrition nimeinstall ubuntu ndani ya windows..imekubali na inaboot fresh nikiichagua wakati wa boot naomba nisaidiwe namna ya...
0 Reactions
28 Replies
3K Views
kwa siku za karibuni nimekuwa na interest za graphics na animation. So kwa wale wanapeda kujifunza vitu kwa kujaribu practically wanaweza kujipa chllnge hii kwa kufuata maelekezo ya wataalam...
3 Reactions
4 Replies
2K Views
Asalaam wana T,G & S kasimu kangu ka LG haka-play wala ku-upload video mwenye ufaham site gani naweza nikapata intallation software kuwezesha viewing,playing, .....
0 Reactions
19 Replies
4K Views
Jamaani ndugu zangu nimefanya installation ya window seven 7,nimeazima kwa rafiki yangu baada ya kufanya hivyo imeniandkia kuwa window is not genuine,imeacha na kudisplay background ya window...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
A huge step forward for the gay community. ... that a company which by some measures the largest and most important in the world is now being run by a gay man. Certainly when it comes to gay role...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Heshima zenu!<br /> Mwenye ujuzi anisaidie,nina mashine yangu ya Samsung Galaxy tab GT P1000. Nilinunua brand new.katika kutaka kuifaidi,nilikuwa nikidownload masoftware from markets ya...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Nina simu aina ya Nokia E65, mwanzoni ilikuwa inafunguka kama kawaida lakini sa hvi inagoma.. Nimejaribu kudownload nyingine, installation inakataa na kuandika "Unable to Install component built...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nnayo CD ya Software ya Adobe Photoshop CS3 lakini sasa tatizo nimepoteza key zake please kama unazo au unaweza kunielekeza namna ya kuweza kuzipata key naomba msaada, sababu hata niki-browrse cd...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Jamani naomba msaada wenu, mwenye kupata hiyo activation key ya MS Project 2007
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Binadamu katika masiha yetu kila siku Iwe ni maofisini au nyumbani , Iwe ni kwenye mahusiano ya mpenzi siasa, uchumi, michezo etc tunakutana na matatizo yanayohitaji kutatuliwa. Matatizo...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Heshima zenu! Mwenye ujuzi anisaidie,nina mashine yangu ya Samsung Galaxy tab GT P1000. Nilinunua brand new.katika kutaka kuifaidi,nilikuwa nikidownload masoftware from markets ya...
0 Reactions
1 Replies
803 Views
Wakuu wa Jamvi. Mimi ni mteja mzuri sana wa Kampuni ya airtel. Kwasababu ya shughuli zangu napendelea kujaza simu yangu airtime ya 100,000 mara nyingi. Sina tabia sana ya kuangalia Salio...
0 Reactions
2 Replies
974 Views
Cracking the Coding Interview gives you the interview preparation you need to get the top software developer jobs. This book provides: 150 Programming Interview Questions and Solutions: From...
0 Reactions
0 Replies
985 Views
Jamani mie siyo mtaalamu kabisa wa mambo ya electronics ila nina tatizo kidogo naomba tusaidiane.LEO MCHANA nilikuwa mahali fulani halafu nikawaona jamaa wanabishana kuhusu hizi T.V za kisasa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Natafuta power supply ya laptop aina ya compaq e610c nipigie namba 0714260821 nipo Tabora
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Wana jf ninampango wa kununua printer kwa ajili ya matumizi yangu binafsi ya kielimu, ila sina uzoefu!!! Kwa wazoefu, naombeni msaada wa ushauri ni printer gani ni nzuri ambayo inaweza kuscan na...
0 Reactions
2 Replies
998 Views
Let us discuss how these company makes money. I have tried to see but only google adword is the only thing I can see. From ICT perspective especially SE, how do they make money? And what can we...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kwa kiswahili tunasema Dunia kama kijiji.. Neno hili limekuwa msemo sababau ya Internet na TEKNOHAMA. Mfano Leo hii unaweza "kutembelea " yard ya magari liyopo japan au Dubai hku ukiwa...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Back
Top Bottom