Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Msaada waatalam wa computer.Hivi majuzi desktop imegoma ku start kabisa,nilihisi tatizo ni PSU lakini baada ya uchunguzi nilibaina output voltages zote sawa.Nimetrace tatizo down to mobo au...
0 Reactions
0 Replies
810 Views
Hali zenu wakut. Mimi tatizo langu ni modem ya huawei kwenye counter reset. Kila nikijaribu kureset modem ya huw e173 inakataa nimejaribu counter reset aina 2 zote zimegoma. Je kuna counter reset...
0 Reactions
2 Replies
6K Views
Kwenye matangazo na documentation za internet packages zinazotolewa na tigo (3.5G network, simu na modem), sijawahi kuona sehemu wanazungumzia speed. Wanazungumzia tu package, ya chini inaanza...
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Habar wana JF. Msaada nataka kubadili user name yangu kwenye hii Jf log in nifanyeje wadau?
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Simu yangu Nokia 3110c inawaka ma kuzima,nadhani inavirus make nimekua nikidownload nyimbo kutoka kwenye intanet,naombeni msaada jinsi ya kuifufua make kwa sasa alama ya nokia ikishaonekama tu...
0 Reactions
15 Replies
8K Views
Guyz am lukin 4 a machine(desktop or laptop). Nimeokoteza kama kilo 5 na nusu. Iwe used or mpya as long as iwe fiti kiaina. So kama kuna mtu anaweza kunielekeza wapi au kunishaur. Am vry serious...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Utafiti uliofanywa unaonyesha kuwa watumiaji wa Internet Explorer wana IQ ndogo. Utafuti umekuta kwamba wanaotumia Chrome, Firefox na Safari wana IQ ya kati na wale wanaotumia Camino and Opera...
3 Reactions
69 Replies
5K Views
Nina laptop DELL INSPIRON 1545.. Ina slot ya Express card..je matumizi yake hasa ni yapi??
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Jamani nina htaji kfanya kazi kama nilivyo htimu masomo yangu ya IT katka chuo cha NEW HORIZONS CENTRE at Dar es Salaam branch. Lakini tangu nihtimu sijaifanyia kazi professional yangu ninafanya...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Laptop za TOSHIBA vipi kuna utata wowote?
0 Reactions
1 Replies
867 Views
wanajamvi kuna mtu sijui kaifanyaje laptop yangu DELL INSIPIRON N5030 kwani ikiwaka tu na kabla haija boot inataka niweke password nahisi ni system password. Swali ni je nitazipata wapi? au je...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
jQuery ni libray ya script inayorahisisha na kumuondolea web designer au developer kazi ngumu ya kukumbuka mistari ya javascript. Nimekuwa na jaribu baadhi ya script na code za jQuery na...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Waungwana naombeni kujua jinsi the easiest way to download free microsoft office programs. Natanguliza shukurani
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Hi, wataalam I need Ur help. My acer laptop inaonyesha maandishi kwa mbali sana kwa sababu taa za display haziwaki, nafanyaje hapo nafanyaje?
0 Reactions
1 Replies
939 Views
ningependa kufahamu kama kuna namna yoyote ya kuweza kuendelea kutumia this antivirus,baada ya trial period kuisha (31 days),well nimeidownload kwenye simu.
0 Reactions
7 Replies
515 Views
Tazama speed ya Airtel baada kuichakachua modem ya Voda inavyokimbiza
1 Reactions
4 Replies
1K Views
wadau tufahamishane kwa lugha yetu(kiswahili) ingawa swali limeulizwa kwa kingereza.nauliza swali hilo kwa kuwa sasa hivi inayobamba ktk media za kimataifa ni hacker hacker hacker .Tuelimishanae...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Hi JF Wakuu tukitumia mbinu kama hizi kwenye uchaguzi..nadhani tutapata watu wengi, tutalazimisha kutangaza chama fulani na kukiponda chama fulani nimecheza na .bat file na list ya MAJINA ya...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
1.2GHz processor 768MB RAM BB OS7.
0 Reactions
5 Replies
1K Views
wakuu wa tech nina mtumba wa esprimo mobile d9500 nimegundua kuna sehemu ya kupachika sim card nimejaribu kugoogle nijue namna ya kutumia naona nyota tu.nimeonelea si vibaya nikiomba msaada...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Back
Top Bottom