Wataalam,ninawaombeni msaada wenu,1) Ni namna gani ninaweza activate window vista, 2) Key ntakazotumia ku'activate' window vista!!!!!Hali ni mbaya kwa mkopyuta wangu,kila mara inataka ni'activate'...
habari zenu wote
naombeni msaada kidogo kuhusu subaru forester,nimenunua hii gari kama week mbili zimepita,nimegundua hili gari lina matatizo ambayo nisingependa yanipe ugonjwa wa moyo
nikiwasha...
Hellow JF!!
Kama wajua hili kaa chonjo!!!
ila kwa wale ambao hawajui basi unaweza kuupdate Avira antivirus bila kutumia internet yako ya bundle 20MB hehe just joking bana!!!
Watu wengi...
Laptop yangu DELL INSIPIRON imenizenguwa kama ifuatavy:, majuzi nimeinunua ikiwa na Windows 7, lakini kwa kuwa sitaki kutumia windows hiyo niliamua kuformat. Hivyo kama kawaida nikaingiza CD na...
Wakuu ninaomba msaada jinsi ya kuifanya Copier machine ya Cannon ir2016, kuwa kama network printer, nina computer 4 (Windows XP) na laptop moja (ina windows 7). nina network ya LAN
wakuu nimedownload virtual dj pro 7 kwa kutumia torrent bt daaah installation yake imenishinda...imeniambia nifuate steps zifuatazo but imekua ngumu kidogo..
INSTRUCTIONS
1. Install the...
naomben msaada wenu ndugu, kuna app niki-instal inakubali ila nikitaka ku-open inakua "system error". Simu yangu ni nokia 5320 xm, kama kuna link yeyote nidondosheen hapa chini!
ubuntu has now increased its online storage for its users from 2GB to 5GB free for your files, if you are using ubuntu is easy in uploading your data on ubuntu one, so sign up and get full SAFETY...
jamani kama unataka kufaidi live games all over the world iwe ligi ya uingereza, ligi ya brasil, soln hii hapa binafsi nime angalia game nyingi sana.
1= fungua...
Wadau ninaombeni msaada nina laptop Gateway nikiwasha inawaka kabisa hata nikitaka kurua BIOS ninaweza lakini haikubali kuendelea ku boot nimejaribu kuweka first book iwe cd rom na nikaweka...
Salaam wandugu! kwenye settings za meseji naona kuna ''message validity'' ambamo humo kuna options tofauti mojawapo ni maximum, hivi ni nini kazi yake.? na kwenye message center number kuna namba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.