Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Wana JF nimejikanza nimenunua Used Iphone 3 sasa naomba Software ya Itune kwa mwenye nayo niweke kwenye computer yangu niweze kuweka music Asanteni OP, a.k.a Farasi bubu
0 Reactions
2 Replies
888 Views
salam wakubwa, nimekua nikihangaika kupata web.nzuri ya ku-download moviez kwenye laptop yangu bila mafanikio. U-tube wananipa vipande vya moviez. Naombeni msaada especially wa ku-download series...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Wakuu,kumbe hapa bongo hakuna chuo chochote kinachofundisha ICT kwa distance learning.Hii si itasanbabisha maendeleo ya ICT kutofikiwa haraka tz Au labda mimi sijui,lakini watu wengine...
0 Reactions
4 Replies
5K Views
Wanajamii naombeni msaada wenu katika hili suala, ninataka kutengeneza web based application ambayo inaweza ikatumika katika secta za elimu especially vyuoni, nataka iwe the best, sasa nilikuwa...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Samahani kwa kupost late but I hope Uta keep it on your reminder so that mwakani utaikumbuka System Administrator Appreciation Day For more Information about System Administrator Appreciation...
0 Reactions
1 Replies
859 Views
hello guys.. hope u good haya sasa offer kabambe, hurry up. get official key ya tuneup utilities for free simply enter ya mail and follow instructions.. enjoy!! for people who does not...
2 Reactions
2 Replies
1K Views
Kwa masystems administrator je unazifahamu na kuzifuata hizi code of ethics? Kama huzifahamu ni hizi hapa chini kama huzifuati jitahidi kuzifuata. https://lopsa.org/CodeOfEthics
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakuu, mnaweza mkaona ni swali la ajabu na la kitoto, lkn tafadhali sana naomba mnifundishe jinsi ya ku-upload files, pics, video, website links, n.k humu jamvini. Natanguliza shukrani
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Habar wataalamu!Nina Programu ya Pinnacle studio 10 kwenye PC yangu.Tatizo kila ninapofanya project fulani inashindwa ku save files ambazo zipo tayari kama kazi.Badala yake inaweka ka alama kadogo...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
kwa yeyote anayefaham jinsi ya ku-rename permanently song details kwenye simu kama vile song name, artist, genre, year n.k! Au kama kuna app ya aina hiyo basi anisaidie! Natumia nokia 5320...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Mobile Tech for Cooking and Security A Young Kenyan uses his phone to start cooker, security lights, trap mice...! A young man in Eldoret has developed ingenuous ways of making his life...
0 Reactions
1 Replies
857 Views
Jamaa yangu mmoja amekosea kujaza info yake katika facebook, ametaka nimsaidie kuiweka sawa, nimemwambia anipe password kanipa, email, anasema yy anatumia namba ya simu hatumii email, sasa kwenye...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
kwa wale wapenzi wa games..leo ningependa tushirikishane juu ya online games, kwa upande wangu mimi ni mpenzi mkubwa sana wa hizi games kama CITY VILLE NA EMPIRE AND ALIES (za kwenye facebook) pia...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Naomba msaada juu ya email ya yahoo. Tangu yahoo waje na huu mwonekano mpya nashindwa kabisa kuingia kwenye inbox. Naweza kusign in vizuri lakini nikibonyeza inbox inarudi kwenye sehemu ya kusign...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
wadau wa technology heshima kwenu.NINA PRINTER YA LEXMARK 2600,ILIISHA WINO NIKA RE-FILL LAKINI BAADA YA KUZIPACHIKA KATIKA PRINTER HAISOMI WINO NILIO UJAZA IT KEEPS SAYING 'your ink catrige is...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Wanajamii naombeni msaada wenu katika hili suala, ninataka kutengeneza web based application ambayo inaweza ikatumika katika secta za elimu especially vyuoni, nataka iwe the best, sasa nilikuwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
SASA TANZANITE ILIGUNDULIWA NA MTANZANIA NA HATIMAE WANANCHI WAMUONA LIVE... NIMEONA TUSHIRIKIANE KWA PAMOJA KUMUONA BOFYA HAPA KUONA NA KUSOMA HABARI ZAKE ZAIDI
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Siku za karidbuni nimeona kuna threads nyingi zinaanzishwa na scammers. Cha Kushtua zaidi baadhi ya thread walizoanzisha scammers hapa zinagongewa like . Hii inaonyesha kuna watu wanaweza...
3 Reactions
12 Replies
3K Views
Wakuu hamjambo wote?,naombeni msaada wenu wa kimawazo na pia kiufundi nahitaji kuanzisha mradi wa kusambaza/kugawa chaneli mtaani ni nini ninachohitaji kuwa nacho ili niweze kuikamilisha master...
0 Reactions
24 Replies
6K Views
Wataalamu wa IT naomba kufahamu hivi IPAD ndio kitu gani na kina kazi gani maana wanasema MH ZITTO ndio mmbunge wa kwanza kutumia bungeni na gharama yake ni shillingi ngapi?shukrani wakuu.
0 Reactions
13 Replies
5K Views
Back
Top Bottom