Habari jf.Nime uninstall firmware ya modem yangu tatizo linalopelekea modem kutoonekana ktk pc yangu.Kwa yeyote mwenye firmware hiyo naomba anifanyie attachment kwenye thread hii.Thnx
Please kwa yeyote anayejua machine za kuprint mabango,graphics,kalenda,brochurers t-shirts katika size mbali mbali,plz naomba aniambie zinaitwaje na zinapatikana wapi hapa bongo. Pia kama kuna mtu...
wadau natafuta iphone, kama kuna mwenye connection na hizi bizness anijulishe bei ya iphone 3gs na 4gs kwa hapa bongo na kwa nje ya bongo ninaweza kuagiza vipi.... naomba mawazo ni kwa jinc gani...
Wanajamii hasa wataalamu wa Computer.
leo asubuhi nimewasha laptop yangu Dell Inspiron 1545, inawaka vizuri lakini baada ya sekunde kumi resolution inakuwa mbaya sana kiasi kwamba sioni kitu...
Wakuu poleni na majukumu, kuna mshikaji ameniuzia Blackberry Bold, sasa nataka nisevu email adress yangu lakini nashindwa maana yeye alishasevu ya kwake, na yeye ameshakwenda ughaibuni bado...
Assalam alaikum wana jamvi nawatikieni ijumaa kareem na mfungo mwema wa ramadhani unaokuja,tafadhali naomba nipate jibu la swali langu jana nimetumiwa msg na line ya tigo kwenye simu yangu ya voda...
Wadau samahanini mie nashidwa kuelewa kuhusu kuhusu safari za baiskeli hizi mbili nnapokuwa naendesha kwenye vumbi naona mwendo unakuwa mkali afu naona nipo kasi ila nnapokuwa kwenye rami nahsi...
Habari waheshimiwa...kutokana na ujuzi wangu mac os nitofauti kabisa na ile ya microsoft..watu wa macintosh wana business philosophy tofauti ya ile ya microsoft. Wakati mac wakiwa wanataka to have...
jamani i just happen kusahau my memory card password.....so what shall i do to get access again to it....it has some of my important files.............PLEASE HELP ME GUYS, hw can i unlock wizaut...
​Dear PayPal, its customers, and our friends around the globe,
This is an official communiqué from Anonymous and Lulz Security in the name of AntiSec.
In recent weeks, we've found...
Char-Be-Gone
Clean your cooker without chemicals. The Grand Grill Daddy brush drizzles water from its handle reservoir, which the grill's heat turns into steam, helping loosen grease and...
hi jf thinkers, jamani kuna m2 namjua hapa jirani yatu anatumia ttcl dek mobile ku accses internet free of charge yapata mwaka sasa, utalaamu huu ulifanywa na baadhi ya vijana toka dar ambao kwa...
1.Kila ninapo tumia ubuntu computer yangu inachemka sana
nilijaribu ubuntu9,ubuntu10.04,bongo linux zote bado zinaleta tatizo hilo hilo,
tatizo ni nini?
Naogopa sasa kuitumia nisije unguza...
Helow JF!!
Yes, you are reading it correctly,
its not a prank or joke, now you can easily avoid the waiting time or usually we say time limit when you download as a free user from the file...
Please wakuu Nina movie nimezi download nataka kuangalia kwenye Laptop yangu kwa kutumia RealPlayer lakini RealPlayer inanipa message hii This video cannot be played due to old version of your...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.