Brought that shiny new unlocked iPhone 4 home to Tanzania, only have your first App Store experience end in tears? We certainly sympathize, andapparently Apple's heard your plea.Interested...
Wataalamu,
Naomba msaada wa nini naweza kufanya ili kujua/kugundua kama nimekuwa blocked ku-chat katika yahoo Messenger na mtu ambaye siku zote nimekuwa na-chat nae ila ghafla simwoni online wala...
Habari wana jf naomba msaada kwa hili nimejaribu ku download file la movie kwenye filesonic limekuja kwa format ya winrar kila nikijaribu kuli extract ili lifunguke kwa winrar linafunguka likifika...
tafadhali wakubwa wa jamii forums nina wapsite moja http://wabongoo.tk niliiitengeneza kwa lengo la watu kuweza kupata phone downloads(hasa hapa bongo) kama vile nyimbo,application,themes hata...
Chonde chonde, kuna kirusi hatari katika mawasiliano ya mfumo wa kompyuta. Tafadhali chukua tahadhari.Fuata link hii kwa taarifa zaidi: ConnecTechs Network Solutions
We use very simple Technology to Create this Radio station.. we don't have any frequency but we are using internet only... the Radio Broadcasting from Upanga Dar es Salaam.. and u can listen...
Hello thar FBI and international law authorities,
We recently stumbled across the following article with amazement and a certain amount of amusement:
FBI Tries To Send Message With Hacker...
mimi natarajia kujiunga na chuo kikuu mwaka huu wa masomo 2011/2012.Je chuo kama UDSM kitaanza lini masomo kwa wanafunzi wa mwaka wa kwanza wanaotegemea kujiunga mwaka huu? Naomba mwenye taarifa...
Simu imeokotwa, maeneo ya Mlimani City jana asubuhi ikiwa haina chaji. Leo imewekwa chaji, ina PIN kwenye maeneo yote haiwezekani kuiwasha.
Kwa aliye poteza simu maeneo ya Mlimani City siku za...
The Bugatti Veyron is a modern automotive legend. The sleek speedster from Volkswagen boasts a top speed of over 260mph, making it the fastest road-legal car in the world, and it has a stunningly...
Nawasalimu wana jf? Mimi bwana nimeanza kutumia hii huduma ya dstv mobile ya vodacom, na huduma hii walivyotangulia kutangaza, walisema huduma hii ni bure, lakini cha ajabu ninapotazama channel...
Hi
wanateknolojia.
Kama mnavyojua nchi yetu ni ya kisiasa zaidi. Na hata sisi wenyewe tu wanasiasa. teh teh teh
Sasa nimepta wazo kutokana na mambo mazuri na mabaya yanatoea ingekuwa vizuri...
Halow JF
KUANZIA TAREHE 23/JUNE WALE JAMAA WA SYMBIANSIGNED WAMEBADILISHA SITE YAO SO HAWATATOA .cer na .key ANYMOREEEEEE
SO HUTAWEZA KU HACK SIMU TENA..KAMA ULISHAWAHI KUPATA .CER NA .KEY...
Nimefungua group hapa JF ila natak kubadilisha jina lake kutokana na ukweli kuwa malengo na mtizamo wa group umebadilika kidogo.
naomba msaada jnsi ya kubadilisha group name, maana naona option...
Hi!
Nachukua shahada ya uhandisi yaani 'Electronics & Communication Engineering',
nakaribia kujiandaaa kufanya project kwa ajili ya kumaliza, kichwani kwangu nahisi sina mwongozo wa kutosha...
jamani tahadhari hii hapa,
wote mliokunywa kikombe kwa babu na kuacha kutumia dawa zenu yanaweza kuwakuta makubwa,
nina rafiki wa karibu alikuwa anatumia ARV alivyorudi kutoka kwa babu akaacha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.