WanaJF wenzangu mambo vp?.Naombeni msaada wenu wakuu kwenye simu yangu ya Nokia N93i imekumbwa na tatizo la kutofanya kazi kabisa nikiiwasha inaniandikia PHONE START-UP FAILED.CONTACT THE...
wakuu habari za saa hizi poleni na majukumu..wakuu naombeni msaada wa activation keys za window vista home premium na hitaji sana..natanguliza shukrani za dhati..
Apple Mac OS X Lion goes on sale todaykatika pitapita yangu nimeona hii habari njema kwa wapenzi wa Mac. Nimeona tushee.
Hii upgrade ni 4GB na hakuna njia nyingine ya kuipata except kudownload...
Hallo wana JF,
Naomba ikiwa kuna yeyote anayefahamu namna ya kuconvert PDF document au mwenye software hiyo anisaidie tafadhali. I have something in PDF that I have to convert to word doc and my...
7 Most Notorious Computer Hacker Groups of All Time
With the recent attack on PlayStation Network and a bunch of high-profile websites, computer hackers are back in the limelight again. Hackers...
Jamani sayansi ya HEP inaruhusu kurecyle maji kwenye mabwawa yetu au yanakuwa yamechafuka hayafai?
maana wanasingizia maji yameisha na masika yameisha juzi je mwezi wa kumi si kutakuwa giza...
Browse Facebook on mobile witthout Internet Connection
Singaporebased software applications developer U2opia Mobile has developed a new application for mobile phones that will allow users...
Hi all.
Jamani wanaJF wenzangu naomba msaada/ elimu kuhusu kfanya changes ya outlook.
Officin kwetu wamenunua kampuni jngne ambalo llikuwa linatumia DOMAIN tofauti na yakwetu (eg...
Wazee habari za siku, nataka kununua iPad 2 kupitia online sasa mnanishauri nifanyeje ili niweze kuipata kwa gharama nafuu zaidi? anayejua gharama za kutumiwa via DHL, TNT au EMS tafadhali...
Source: EA Combined-East Africa is Talking - Powered by CO.CC
The history of camera is a complicated one. Louis-Jacques-Mande Daguerre invented the first photographic device in 1836. George...
Of all the minerals mined from the Earth, none is more useful than gold. Its usefulness is derived from a diversity of special properties. Gold conducts electricity, does not tarnish, is very easy...
How to Clear/Flush DNS cache in Linux/Windows/Mac Os?
If a website newly registered in internet world, it may not be loaded in your computer. For example, you register for example.com...
Hacking Autorun.inf virus attack Is autorun.inf virus?
When i studied second year(cse), my friends told that autorun.inf is virus. I thought so. Because my antivirus blocks autorun.inf...
Minnesota hacker Barry Ardolf was sentenced to an 18-year term in a federal prison this Tuesday. Ardolf had terrorized a neighboring family for two years through a carefully planned campaign...
Habari wandugu. Nina cm yangu mode ya iPHONE ya kichina tangu niinunue haijawahi kunisumbua. Jana niliiweka kwenye mfuko wa suruali nikalala nilipoamka ikawa haisense kwenye screen, nimejaribu...
Habari,
Naomba msaada wa jinsi ya ku run Servlet kwa kutumia Apache Tomcat server (Natumia tomcat 7), with JDK kwenye windows.. JDK seems to work fine..
Nimecreate form tag kwenye .html file na...
Wadau kwanini pia tuaianzishe utaratibu wakujuliana hali nakusuluhisha matattizo kwa kutumia skype unaongea na mtu unamwelewesha vizuri kuhusu shida yake nadhani tumezoea bila kuona mwl laivu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.