Laptop yangu, CPU imekufa haifanyi kazi kabisa, ukiwasha ile power light inablink mara kwa mara tena kasi na hakuna chochote kinachoonekana kwenye screen (monitor), hv kuna uwezekano wa kununua...
Nina Iphone, sijui nimebonyeza nini imeanza kuonyesha herufi kubwa na icon kubwa kwenye screen, yani kama ume zoom out inakua shida kutumia msaada wadau
Wale wanaotumia mac mimi nimeshachakachua os lion kutoka kwa the pirate bay unadownloadi na kuiweka kwa mac yako kwisha kazi kila kitu kinafanya kazi. Hii ni lile toleo la mwisho la developers...
Wadau usiku wa tarehe 7th July 2011 nikiwa naangalia taarifa katika luninga TBC walikuwa wakionyesha mabanda na kuwahoji watumbalimbali.
Kukawa na mkurugenzi anatangaza bidhaa zake moja ya...
Terrafugia
Terrafugia's Transition roadable aircraft, shown here in an artists' rendering, has cleared regulatory hurdles that make it street legal.
By John Roach
A flying car is being...
mods jana mmeongea na bbc kuhusu watu ku-hack jf mara 100 kwa siku
tunaomba mtujuze wanafanyaje??nataka kuwa hacker na mimi nisumbue watu kwenye ulimwengu huu wa technologia
nimenunua line mpya ya tigo iliyosajiliwa nimeiwekea kifurushi cha wiki nikiiweka kwenye modem na ku connect inaniambia connection terminated. Tatizo kama hili linasababishwa na nini?
Jama nilifanikiwa kufungua Blogspot yangu na nikafanikiwa kuiweka hewani ila sasa nataka nibadilishe blogspot (something.blogspot.com kama mfano) so naomba kwa anayefahamu anisaidie coz nimejaribu...
Wakuu kwa hii Thread ya kiranja mkuu ni hatari usijaribu ukiingia ujue umeharibu computer yako!Mzee invisible hii mimi nilishaipata katika 4shared ninomatupu bora ufute hiyo thread kwani watakao...
Naomba msaada wakuu, nini run Internet business, msimamizi amekua akinipiga bao mbaya kabisa kuhusu mapato, nimeweza kumdhibiti kwenye maeneo mengi sasa tatizo nililonalo ni je? kuna software...
Wakuu nimesoma soma mtandaoni kuna gazeti huko majuu UK limesababisha mjadala mkubwa baada ya kuonekaa stye yake ya kutafuta data na taarifa mbali mbali ilikuwa ni kupitia hacking Voice message...
Habari wana JF
Kuna application ya chat naitumia ya Mxit kwenye simu yangu ya blackberry. Inapatikana kwa simu zingine pia. Blackberry messenger naona inabagua wenye simu hizo tu. Lakini mxit ni...
Wana jamii habari
niliwahi kutengeza blogspot yangu na ikafanikiwa kuwa hewani ila nataka nibadili jina lake namaanisha labda something.blogspot.com liwe jina lingine plz naomba msaada wenu...
hallo wana-jf,<br>in two months time ninaweza nikapata kalikizo cha kama 5 wix ivi na ningependa m2 expert wa web-designing atakeyependa kuniongezea ujuzi kwa huo muda,please reply if any.nice day
hii ni single page album app, ambayo unaweza kuappload and kuangalia picha kwenye secreen. Coding for fun, so ukiweza improve it then share it. I am doing the same too.
Jaman jaman,hv been taking my time
kufwatilia hilo swala. Am using Nokia
5800 xpress music.
Fwatisha maelezo ya fuatayo kwa
makini sana.
1. Ikia kwny link hii nokiasymbianthemes.com/explore/...
Imagine being caught in a thunderstorm as wide as the Earth with discharges of lightning 10,000 times more powerful than normal, flashing 10 times per second at its peak.
Now imagine that this...
Wakuu naomba msaada nawezaje kupata channel ya E-TV ambayo imekuwa locked kwenye dish. Swali hilo hilo pia kwenye king'amuzi cha Startimes kwa ajili ya Channel Na.49 (TEST). Channel hizi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.