Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Is it possible to install & run windows based softwares in ubuntu? Natanguliza shukrani!
0 Reactions
3 Replies
918 Views
Salaam Wakuu, Nimekuwa nikitumia dell Latitude laptop lakini naona kama ni bei ghali kuliko dell inspiron. Je kuna tofauti gani kama mtumiaji wa kawaida?maana wanasema dell latitude ni business...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Wakuu, naomba msaada wenu kuhusu uimara wa hyundai trajet hasa kwa mazingira yetu ya Tanzania. Iko kama Toyota Gaia, ina abiria 7 ukiongezea na dereva. Nataka kulinunua wakuu.
0 Reactions
6 Replies
2K Views
natumia micromedia Dreamweaver,kwa kweli inanisumbua sana naona ni complicated sana je kuna software nyingine ambayo ni easy kidogo kwa mgeni wa hayo mambo kama mimi?
0 Reactions
34 Replies
4K Views
Jamani wataalamu naombeni msaada.computer yangu ni nzito sana.ni dell gx 270.hdd 160.ram 1gb.processor 3.0.ila haina ant virus.je inaweza kuwa ni tatizo la kufanya mashine kuwa nzito?pia kwa nini...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Nina desktop yangu dell, ninayo kwa muda wa mwaka sasa na haijawahi kunisumbua ila juzi nilimuazima jamaa yangu flash then aliponirudishia niliiiscan na antivirus ninayotumia ya Symantec na...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wakuu naomba msaada wa kuichakachua modem mpya ya tigo, imekubali kubadili dashboard tu ila firmware imegoma katakata hivyo inakataa line nyingine zote isipokuwa ya tigo tu. Waliofanikiwa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wakuu ninayo Ipad2 3G ,inatumia line ya Airtel Microsim card. Microsim yenyewe ni simcard ya kawaida ambayo imekatwa kuipunguza,,kwani wao hawana sim card hizi ndogo. Tatizo ni kuwa ipad haina...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Natumia Win7 32bit, nimejaribu kuinstall Visual Fortan 6.5 ila inagoma, nimejaribu kuulizia kwa wadau wangu wa karibu hapa naambiwa Fortran haiwezi kutumika kwenye Win7 labda niinstall WinXP. Pia...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
wana jf msaada wenu wahitajika kuichakachua hiyo simu ya vodafone iweze kutumia line zote Nawasilisha!
0 Reactions
0 Replies
931 Views
Wadau, komputer yangu inaleta shida kidogo hapa. Nikiichomeka kwenye charger ikiwa imezimwa inawaka kitaa kwamba inacharge-na inakuwa inacharge kweli. \Tatizo nikiiwasha, inaacha kucharge so baada...
0 Reactions
0 Replies
969 Views
Naomba msaada wakuu. computer yangu mpaka jana ilikuwa nzima tu. Lakini leo inaniambia no Intel adapter is present in your computer. computer yenyewe ni hq-compact dx 1000. howdo I go along
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nimepakua sana wkend hii hadi mtandao umesuasua isivyo kawaida. Kuna uzi niliusoma humu unahusu nini cha kufanya kurudisha kasi ya net. Msaada plz
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Badala ya kuhangaika na Radio ofisini just click hapa na unapata news na updated music. Endeleeeeaa huku unachapa kazi Tone Internet Radio Mimi nimeipenda sana, Hongereni Vijana kwa kazi Nzuri
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Greetings! Hope this message finds you well. We would like to present ourselves to your respected Company as Digi Matrix Technologies being one of the leading suppliers of Advertising machines in...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Macbuntu, Part 3 | kyleabaker.com
0 Reactions
0 Replies
911 Views
Nasikia watu wanakachua,namimi leo zamu yangu yakuchakachua!nivipi?
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Heshima mbele, Naomba nisaidiwe jinsi ya ku-attach file lenye ukubwa wa 200mb kwenye yahoo mail NB Ziwezi kuligawa (Break) file hilo Thank in advance
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Habari, Natumia moderm ya voda k3570-z but toka nimeanza kuitumia mobile connection ndo inakuwa connected wakati LAN connection haiwi connected. Je hii haina effect kwenye internet speed.Naomba...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mambo vp wajomba natumai mpo poa.jamani hili jukwaa naona linazidi kuwa pana zaidi.ukijaribu kuchunguza utaona mada kubwa zinazojadiliwa ni ama mambo ya computer au mambo ya simu. Na modem.japo...
3 Reactions
27 Replies
2K Views
Back
Top Bottom