Habari za weekend? Jamani kuna mdogo wangu anatafuta software ya Microsoft SQL server kwa ajili ya project chuoni anasoma masomo ya IT. Kaniambia mwanzoni walitumia Oracle lkn imewazingua yeye na...
Hey wakuu, najarbu kutuma fax kwa kutumia "All in One Printer" niliyonunua kwa ajili ya kazi zangu ndogondogo nyumbani; Iko connected tayari na Landline, configuration zote zimefanyika. Ngoma ipo...
nina website yangu nimeshaitengeneza nataka iwe online,kuna member mmoja alitutumia free web host Weebly - Create a free website and a free blog lakini nafikiri wanataka nilipe,
mimi nataka...
Ndio,mwanzoni nilidhani ni matapeli, kumbe ni kweli!!!!
Trick wanayotumia ni kukuambia ongeza salio na upate 200mb za internet bure kuanzia saa 6 usiku-saa 12 asubuhi!Suala ni kwamba sio lazima...
There's DVD+R, DVD+RW, DVD-R, DVD-RW, and even DVD-ROM! So what's the difference between all of these different names, aren't all DVDs the same?
Well, it's not quite that simple.
Let's first...
jamani kila nikijaribu ku burn CD R , mwisho natapata msg kuwa burning went successfully lakini nikirejea kwenye CD ni empty nikijaribu kuifungua window inaniambia ni format.
Nimetumia Nero...
Wakuu leo kwa mara ya kwanza nimekwama kukopi DVD film za hapo kwetu bongo (Tanzania) nimejaribu kukopi kwa kutumia Nero inakataa nawaombeni munisaidie kuna Softare ipi ya kuweza kukopi au ku...
Kuwa makini sana unapotaka kununua simu. Jiepushe na majina haya:-
Nokla, ukiwa na pupa au haraka au usipokuwa makini utaweza kufikiri kwamba ni Nokia.
Pia siku hizi kuna simu zako ziko branded...
Wale wote mnaopenda vitu vya chee sasa mtakoma. Wenyewe wamewashtukieni!
July 7, 2011 8:39 AM PDT
Top ISPs agree to become copyright cops
by Greg Sandoval
Some of the top ISPs, including...
Salaam kwa wana JF wote!
Ni kuwa wakati napiga simu,mpokeaji/receiver ananisikia kwa mbali/shida sana (i.e. sauti yangu inakuwa chini mno). Wakati huo mimi nakuwa namsikia vizuri sana! Inafika...
salaam wakuu,natumaini mambo ni shwari. Naomba msaada kuna rafk yangu jana kaibiwa blackberry bold yake,je is there any means kuweza kuitrack nakuirecover? Natanguliza shukran za dhati wakuu
Nimesoma article kwenye link hii Ban PowerPoint! - Tim Worstall - It's All Trivial Or Obvious Except - Forbes inaonekana wazungu wanataka turudi kwenye flip charts. na most of them wanasema it is...
Please kwa mtu yeyote anayejua ku Design online radio naomba msaada, am some how good in IT lakini kama kuna mtu atanipa starting point au location ambapo naweza pata resources please let me know!!
Wanajamvi naombeni michango yenu, nina maswali machache juu ya e-learning kwa mazingira ya Tanzania.
1. Hali halisi ya matumizi ya e-learning kwa Tanzania ikoje kwa sasa?
2. Ni matatizo gani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.