Tanzania needs to introduce and implement
‘A Clean Atmosphere Act’ as an Anti-Geoengineering Bill.Such a legislation will enable the country to protect the health of its population, trees...
Habari zenu
Sina hakika kama hili ni jukwaa sahihi kwa hii mada, lakini Naomba kuiwasilisha humu kwa mwenye kufahamu basi anifahamishe.
Nimekuwa nikijihusisha na Blogging kwa miaka 4 sasa na...
Habari ndugu zangu.
Jioni ya leo nimekuwa nikipokea simu kutoka kwa watu nisiowafahamu, wakidai kuwa wamepokea ujumbe kwa njia ya WhatsApp kutoka kwenye namba yangu unaozungumzia nafasi za kazi...
Wakuu.. hii changamoto nawezaje kuitatua..? Status ya aina yoyote iwe video picha au maneno zinagoma kabisa kuwa uploaded.. nimejaribu kufuta na kudownload upya whatsapp shida iko pale pale...
Naomba ushauri wa simu ya Samsung ya kununua series ya note ipi nzuri na bei yake
Chief-Mkwawa msaada wako
Sent from my SM-A217F using JamiiForums mobile app
Jamani, niko interested na DHIS2, najaribu kujifunza kupitia demonstrations kadhaa. Sasa naona kama inawezekana kuweka setup ya DHIS2 kwenye kompyuta yangu. Nimejaribu kuangalia tutorials...
The story at a glance
As technocracy and transhumanism have risen to the fore, they have brought with them their own form of science — “scientism” — which is basically the religion of science. In...
Mtu yeyote mwenye iphone mfukoni muda sio mrefu mtafurahia sana huduma mpya ya iOS16 itaposhuka baadaye mwaka huu.
Kupitia mikutano wanayofanya kila mwaka ya World wide developer conference...
Msaada kwa wataalamu katika taaluma ya tecnolojia mimi mwenzenu account ya Facebook imefungwa nikijaribu kufungua au kureset password inanielekezea kwenye email ambayo siyo yangu je nifanyaje
Wadau,
Kwanza niweke wazi, mimi si mtaalamu sana wa PC. PC yangu ni DELL VOSTRO yenye specifications hizi kwenye picha. Ila sasa, inachemka sana. Shida inaweza kuwa nini?
Umoja wa Ulaya (EU) umeridhia Kanuni zitakazolazimu simu zote zinazouzwa katika Umoja huo kuwa na 'Port' ya USB-C, uamuzi ambao ni pigo kubwa kwa Kampuni ya Apple yenye mfumo tofauti katika baadhi...
Hivi mtu akiku block WhatsApp utajuaje? Ni hivi nilikuwa na chat na demu for first time, niliiweka dp avatar ya Ushimen sasa now neno about silioni, sijajua kama ndio ameni block au la!
Habarini wakuu mbalimbali nina changamoto ya simu yangu kujizima mala kwa mala baada ya kubadili kioo chake og.maana nilipata ajali kikaweka wino mwisho kikawa hakioneshi kabisaa.
Tangia...
kazi ya hardware ni ngumu sana na yenye lawama nyingi.
kuna simu unaweza ukaifungua ukaifunga na ikagoma kuwaka na wakati huo mteja alileta umbadlishie mic tu. na ukatemgeneza ugomvi mkubwa na...
Dah!
Simu ambayo inajaa kwa muda wa dakika tatu tu, chaji yake inakaa mwezi mzima kwa mtumiaji atakayekuwa online kwa masaa 12 ya siku nzima! Mwonekano wake wa kuvutia, audibility range yenye...
Siku hizi simu zote za ghali utakuta zina material ya kioo nyuma (battery cover). Hii ni kwa simu zote kuanzia iphone 8, samsung s8 kwenda mbele zote mfuniko wa nyuma ni kioo. Kwangu mimi naona...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.