Nawasalimu katika jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,
Kama mada tajwa hapo juu naomba kuelekezwa jinsi ya kuzifanya video za facebook zisicheze au kuonyesha bila ruhusa yangu.
Hili jambo...
Nikifungua uzi mmoja napelekwa kwenye Uzi mwingine.
Mfano nikifungua/niki click uzi huo wa Forum ya JF Store, unafunguka uzi wa forum nya Ujasiriamali.
Badala yake unafunguka uzi huu hapa Chini...
Haitoshi kusoma specs za simu kwenye gsmarena, naomba kwa wazoefu WA simu, kunijuza zaidi kuhusu hii simu ya Royole Flexpai 2, interns of ubora wake, na changamoto zake kabla sijafanya maamuzi ya...
Tafuta App inaitwa GLASSWIRE, pakua ndani ya hiyo App utaweza kujua App gani inakula sana MB zako,
utaweza kublock App zote za kwenye simu yako zisitumie MB hata kama data iko on, unaweza kuset...
Habari,
Neuralink ni kampuni inayomilikiwa na Elon Musk ambayo ilianza project zake mwaka 2016, na moja ya project yake kubwa ni upandikizaji za 'chip' kwenye ubongo wa binadamu ili kurahisisha...
Kuwa makini na mitandao ya kuwekeza pesa ili upate pesa kuanzia SME , IDEA DEBATERS ziko nyingi hizo ni baadhi hawa jamaa ni matapeli na watu wengi wanaibiwa bila kujijua.
Ubaya wake mnaweza...
Ni Tv flat screen , mwanzo ilkuwa vizuri tuu Ila saivi nikiiwasha kwa kutumia remote control kamanilivyokuwa nafanya mwanzo. Saivi ile rangi ya taa nyekundu ilokuwa inageuka kuwa bluu baada ya...
Habari wakuu. Nimeshauriwa na developer kutengeneza PWA. App yetu ni ya kusomea vitabu. Kabla ya wiki hii sijawahi sikia hii kitu. Nimefanya research nimeona ni kitu kizuri sana.
PWA ni websites...
Kuna njia au namna yeyote ya kupata tin number maana niliwahi kusikia kuna njia ya kudownkoad ila sijajuwa ni kwa namna gani? Msaada kwa mwenye kuelewa
Nitajitahidi hii mada iwe fupi kadri iwezekanavyo, nikianza na utangulizi kidogo sana kuhusu Web 3.0, Cryptocurrency na NFTs.
Disclaimer :
Hii mada inawalenga zaidi developers, na haitokua na...
Mbele yako kuna swichi tatu za balbu, moja kati ya hizo huwasha balbu iliyo ghorofa ya chini. Kutoka mahali unaposimama, huwezi kuona mwanga wa ghorofa ya chini,
Chagua ni swichi gani...
Habari wakuu.
Kwa yoyote mwenye uelewa kuhusiana na hii platform ya IDEA DEBATERS inayotrend sana mtandaoni. Naomba ufafanuzi zaidi ya namna inavyofanya kazi na usalama wake wa kuinvest izo pesa...
Habari za wakati huu wana_jukwaa? Ni imani yangu mtakuwa mnaendelea vyema na majukumu ya kila siku.
Kama heading inavyojieleza, Nahitaji:
1. Kuweka windows 10 pro na drivers zake kwenye Kompyuta...
UNAJUA KWANINI UNUNUE POCO F4 GT !!
Xiaomi wanaendelewa kufanya vizuri kwenye matoleo mbalimbali ya simu Leo hii wameachia simu mpya aina ya POCO F4 GT nchini UK ni simu Kali yenye muonekano...
Kuna simu LG velvet ni mpya nilichukua AE, simu ni toleo la Korea T-Mobile
Iko unlocked kwa mtandao wowote shida ukitaka kuunga kifurushi mfano upige *149*01# ujumbe unaokuja ni kama huo hapo...
Habari wana jukwaa, samahani naomba kufaham jinsi ya ku-unfollow kwa pàmoja watu niliowafollow instagram maana niwengi nataka nibakishe wachache tu kama sio kuondoa wote kabisa. Binafs nimejarbu...
Following endless poaching acts in our national reserves
I urge our researchers, and other scientists to heavily invest and research on how we can plant genes/DNA or anything that can help in...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.