Habari wana jamii forum
Kuna tofauti gani hasa kati ya SOUND BAR na SUBWOOFER kweny swala la kuangalia MOVIE, kusikiliza MUSIC au kucheza GAME.
Maana nahitaji sound bar ila najiuliza kipi spesho...
Habari wanajamvi hivi kwenye kampuni ya oppo simu toleo gani zuri ambalo lina vigezo hivi
4ram
64gb
Inayotunza sana chaji angalau yanye 5000mah
Kamera nzuri
Ambayo pia ni slim(yaani sio nene...
Wakuu wangu humu kina Chief Mkwawa na Pirate na wengine wengi...
Naombeni muongozo wenu jinsi ya kuifanya Acc yangu ya Inst na Fb kuwa ya matangazo kibiashara.
Pia kama kuna malipo kwenye Acc...
Textra hii app ya message iko vizuri sana unaweza kuipangilia vyovyote upendavyo na ikawa na mvuto zaidi kuliko hii app ya google message imekaa kiloko sana, nimeamua kuifutilia mbali.
TikTok inapendwa zaidi na watumiaji mtandaoni kuliko Google ambayo imeshikilia nafasi hiyo kwa miaka 10 mtawalia.
Mtandao huo wa kushirikisha video unatembelewa zaidi kuliko Injini ya utaftaji ya...
Wakuu nataka kununua Simu ya Samsung S8+ Model number G9555U , baada ya kugugo nimeona ni version ya USA, naomba kuuuliza je nkiichukua itakuwa na changamoto gani???
Kwa zaidi ya masaa 2 inaonekana kuna tatizo la upatikanaji wa huduma ya internet kwa provider wengi, kwa tetesi nilizopata kuna tatizo kwenye mkongo wa taifa , kuna njia 2 za zimekatika imebaki 1...
Habari zenu wadau..
Jana nilinunua simu mpya ya infinix hot 12i. Cha ajabu baada ya kuweka lain haipigi wala hairuhusu kuangalia salio. Ila inaruhusu kupigiwa Tu.
Naomba wataalam mnisaidie...
Njia 5 za kuwa salama ukiwa Mtandaoni faragha ya Mtumiaji
Kumbuka - Hakuna usiri uwapo Mtandaoni kwa sababu huenda kuna mtu au mfumo unakufuatia uendapo na ufanyacho.
Njia za kuwa salama ni...
Nimetengeneza Blog inayousiana na Mambo ya Utalii iyo apo chini mimi naona iko poa tu sijui nyinyi wataalamu mnaonaje tazama blog Yenyewe apa Tourism In African Country niweka na domain...
Pole na majukumu Wana jukwaa. Wale wenye uzoefu juu ya hizi mashine naomba ufafanuzi juu ya namna zinavyotofautiana katika kufanya kazi. Ipi Ni Bora na kwann?. nilishawahi kutumia canon 2520 Ila...
Umoja wa nchi za Ulaya (EU) wameamua ifikapo mwaka 2024, watengenezaji wa simu zinazotumiwa ulaya watengeneze simu zitakazotumia Pini ya charger ya aina moja na Pini yenyewe waliyoamuru itumike ni...
Nimejikuta siwezi kudownload movie kama nilivyozoea baada ya kufungia zile site za kudownload movie hata vpn niliyokuwa nikitumia wameipiga kitofa je wajuzi hapa tufanyeje kuruka kiunzi hiki ili...
Nahitaji simu ya bei ya kawaida tu lakini iwe na camera kali kiasi ukimpiga mtu picha amevaa nguo unaona mpaka ndani na kama ni mwilini hadi unaona viungo vilivyoko ndani maini, figo,firigisi...
Kama umekuwa ukiumiza kichwa, namna ambavyo utaweza kutengeneza website ya kisasa ya biashara yako, basi leo kupitia nakala hii ntakuonesha hatua kwa hatua jinsi ambavyo utaweza kutengeneza...
Wakuu kwa nyie mnaotumia huduma ya vodacom supakasi baada ya malipo mlikaa siku ngap mkafungiwa huduma sisi tuna wiki mbili tunapigwa Kiswahili tu au ndio mkono mtupu haulambwi. Tuma email...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.