Instagram wazindua mfumo wa kutoa taarifa kuhusu watoto waliopotea kwenye eneo lako !!!
Moja kati ya mtandao unaotumiwa na wengi ni Instagram huna jumla ya watumiaji zaidi ya bilioni moja...
No need to say more,
Hii game Kali sana wakuu. Grafix nzuri pia multiplayer options nzuri sana. Nimependa pia option ya kucheza huku mnaongea (voice chat), nimepata marafiki Malawi na Zambia na...
Kwema Wakuu? Mafundi simu upande wa software na wadau wote mnaofahamu matatizo ya software za simu,nisaidieni utatuzi.
1:Vida k242(voda kitochi) APP ya contact inafunguka lakini haiwezekani...
Back in August of 2020, Russia shocked the world by announcing that they had developed the world’s first vaccine for the “new” coronavirus, seemingly taking delight in the fact that they beat the...
Hii Drone X Pro ni ndogo kwa umbo lakini inasaidia sana kukuwezesha kupiga picha mbalimbali khasa zile za selfie.
Inafanyaje kazi
Unachotakiwa kwanza ni kufungua app yake ya Drone X Pro...
Wadau Watalaamu wa TV naomba kuelimishwa juu ya TV aina ya SAMSUNG kutoa tumistari kwenye Screen TATIZO ni nini?
Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
Kuna wakati unahitaji kuhifadhi vitu vyako kwenye Hali ya usiri sio kila mtu hajue mambo yako binafsi ndo maana tunashauliwa kutumia external hard disk kuweza kuhifadhi vitu vyetu.
Unajua...
ACHANA NA HDD KUANZIA SASA TUMIA SSD !!
Je unatafuta sehemu salama ya kuhifadhi vitu vyako !! Je hard disks Yako imepungua Kasi kwenye kutuma au kurusha kitu ? Au unatafuta sehemu salama ya...
Kuna progrmammes ambazo unaweza kusi download kwenye simu ambazo unaweza kupima eneo lako (area, perimeter etc) na accuracy ya juu.
Please mwenye kujua programe hiyo anisaidie inaitwaje.
Kompyuta au laptop Yako inashindwa kuunganisha na wifi !!!
Wifi imekua teknolojia muhimu Sana kwa muda mrefu kwenye simu au kompyuta zetu , mara nyingi tunaichukulia ni rahisi Kama vile umeme...
Naombeni msaada wa wa namna ya ku quote link ya thread fulani! Kwa mfano labda mtu aliweka thread yake sasa nataka ku quote kile kichwa cha habari (link).
Sijui nimeeleweka! Mfano kama wewe...
Hivi karibuni kampuni ya kiteknolojia ya kusambaza huduma za internet kwa njia ya satellites ya starlink inategemea kuanza kuhudumia nchi hizo tajwa hapo juu. Inatajwa kuwa nchi hizo zitakuwa za...
Nipo Morogoro msamvu stend jirani kuna ghorofa la Morena Hotel!
Hii hotel ina huduma ya Wifi bure kabsa na password zake lakini simu yangu kila niki search ili ni connect haitaki simu yangu ni...
Habarini wakuu, natumau hamjambo
Ndugu nimeskia Kuna app maalum kwa ajili ya viziwi ambayo inawasaidia pale mtu akikupigia ukipokea simu yule mtu akiongea ile app inakuletea maandishi kwenye...
Ni wiki ya Pili sasa kila ninavyojaribu kuflash inanisumbua wakati mwingine inasema Cant connect Port serial com au inaganda kwenye Super Img..... Nani ana Idea na hizi Simu?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.