Picha hizi zimetoka kwa ma designer tofauti na zinakisiwa kuwa Inawezekana iphone 14 ikawa na muundo huu hapa kwa toleo lijalo na pia yaweza ikawa ndo mwanzo wa apple kuanza ku release mfumo wa...
BADILI MLANGO WA CD KUWA STORAGE
Hivi Unajua kwenye laptop Ile sehemu ya kuweka CD (optical drive ) unaweza kubadilisha kuwa sehemu ya storage kuweza kuhifadhi vitu !!
Najua watu wengi mlikua...
Kama nilivyotangulia kusema mimi ni miongoni mwa wasio na uelewa wa namna ya kuagizia bidhaa mtandaoni kama vile Alibaba,Amazon nk
Ili kukwepa kukosea namna ya kufanya online shopping naona bora...
Habari zenu,
Naombeni msaada wa kitaalamu,Tv yangu imegoma kuwaka ghafla tu...Inawaka taa nyekundu ya power button,ila ukiswitch On haidisplay chochote!
Kwa anaefamu tatizo,na Cost zake naomba...
Wadau nimejiunga na ZUKU baada ya kuachana na STarTimes,ZUKU kwa hakika wana channel nzuri sana(za kichina hazina nafasi)muonekano wake ni mzuri sana,pia nimependa kuwa na stations za radio ni...
Kudownload vitu kuna faida nyingi hasa katika nchi kama yetu
1. Endapo unakaa sehemu ambayo haina network nzuri ni vigumu kustream series za netflix maana itakua inaganda ganda kwasababu ya...
Habarini wazee, leo nataka kuongelea hizi simu google pixel, hizi ni simu zimetengenezwa na Google, ndio hawa hawa google waanzilishi na wamiliki wa
°Google Maps
°Youtube
°Gmail
°Google search...
Wakuu habari ya nyie kuna hii picha hapa nahitaji kujua namna kuedit kama hivyo, mimi naishia kuweka strokes tu, lakini sijawahi fikia hii level ya hizi cartoon, labda mnipe muongozo ni technique...
Wakuu habari ya wakati huu.. Samahani kuna hiyo simu imepasuka kioo imetoa mistari mingi Sana baada ya kudondoka chini ila touch inafanya kazi Kama kawaida!!! Nauliza Inaweza kubadilishiwa kioo na...
Kwa sasa ni wazi kuwa kila kampuni ya simu inajitahidi kwenda na wakati kwa kuzindua simu mpya zenye sifa mbalimbali na zinazo endana na wakati.
Lakini kama wewe ni kama mimi ni wazi kuwa kuna...
Hello bosses, nimetumia baadhi ya game engines lkn linapokuja swala la kubalance hivi vitu :- 1)Component Reusability, 2)Perfomance, 3)State management bado game engine nyingi sana zinafanya...
Nina account yangu ya IG ina followers wengi kiasi na niliitumia kipindi cha nyuma wakati u team umepamba moto. Sasa nimekomaa kiakili nataka niitumie kwa biashara. Tatizo sikumbuki password wala...
Wenye hili game tupeane mbinu na maujanja ya jinsi ya kutumia silaha na kuibuka mshindi wa vita katika pambano maana sasa hivi nakula sana za kichwa kwenye Ranked
Habari wakuu.
Kama heading inavyojieleza, naomba ushauri kuhusu simu ninayoweza kuipata kwa bajeti isiyozidi laki saba na nusu (750k)
Binafsi ninapendelea brand ya samsung na xiaomi
Mimi nina simu hizi za gougle lakini nataka kubadilisha operating system iwe ya android maana hii gougle ipo limited sana kuliko android.
Nimejaribu ku root na pc ya samsung lakini bado.
Je...
Habari wana jamii humu ndani, naomba ushauri: Kati ya infinix hot 10 vs samsung a11 ipi nichukue? Nipo mkoani, hizo uzote bei ni moja, laki 3 na elfu 70.
Pia ikiwezekana ushauri ulenge kwenye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.