Wanajamii, habarini za usiku bila shaka muwazima. Nakumbuka siku kadhaa zilizopita niliwaomba mnisaidie namna ya kutumia simu kama Modem, nawashukuruni wote mlionisaidia na kunipa maelekezo kwani...
Who says good software has to be expensive ... or cost money at all? This week on Upgrade Your Life, Yahoo! News' Becky Worley shows how to save hundreds of dollars, with free alternatives to...
Wazee mambo Vipi? Naitaji Mtu ambae Anaweza Kutengeneza Curriculum ya ICT kwa lever ya Certificate, Diploma and Advance Diploma
Mawasiliano Zaidi Piga Namba 0685287862
Kwa wale wenye blogs na wengependa kuondoa maneno hayo hapo juu mwishoni wa blog page yako, tafadhali tembelea hapa: MNYONGE MNYONGENI LAKINI HAKI YAKE MPENI!
Wazee laptop yangu haina setup yoyote ya internet, yaani nikiunga network cable haitoi ishara yoyote kama imekuwa connected. Na nikienda kwenye my network places nakuta network za moderm tu na...
Zantel wamepunguza bei za modem zao kwa
50% na sasa zinauzwa kwa TSH 25,000 badala ya TSH 49,900. Vile vile wameongeza baadhi yavifurushi vimeongezwa kwa 100% bilakuongeza bei.
Napenda kushare nanyi elimu ndogo niliyonayo juu ya urahisi au ugumu na uwezekano na mbinu za mtu kuteka(ku hack) id na password zako mtandaoni.
Wanafanyaje?
Mtu anayeteka password...
By Oliver Smith
Designs for a futuristic aircraft seat aimed at gaming fanatics have been unveiled in Germany this week.
A prototype of the "NFW (Not for Wimps)" concept seat is currently on...
Wadau laptop yangu kwasasa ina windows 7 na ninataka ni install pia windows xp pro sp3 niwe na chagua niboot na os gani, kwa kuangalia specification za pc yangu je itakuwa salama au ntakuwa...
Kwa wale ambao tunatumia public computers zilizounganishwa kwenye mtandao nafikiri wengi wamekumbana na tatizo hili: Unastukia huoni folder hata moja kutoka kwenye flashdisk yako. Alafu cha ajabu...
Wakubwa nina tatizo na laptop yangu hp kuto kuchaji betrii. Nili consult watu wakaniambia kuwa yaweza kuwa betri mbovu. Nimenunua betri mpya lakini tatizo halikumalizika.
Mwenye msaada anisaidie...
Wakuu kunasehemu natakiwa kutuma application latter,cv na vyeti vyangu kwa barua pepe lakini natakiwa nivitume ktk mfumo ambao huko niliko tuma inatakiwa waki click kufungua basi zifunguke zote...
Habari wadau
Mimi nilikuwa natumia zantel siku za nyuma ambapo mtandao wao ulikuwa hausumbui, walikuwa wananipa 2GB kwa alfu kumi kwa wiki moja,Toka umeanza kusumbua nikahamia airtel ambapo...
Nina laptop aina ya dell620 hivikaribuni ghafla ile icon ya bat ilijionyesha na alama ya x nyekundu. Ukielekeza curser kwenye ile icon kuna pop up msg ikionyesha battery not detected. kwa hali hii...
Wakuu nahitaji laptop BRAND NEW.
It can be a Toshiba,Dell,HP, lakini nataka yenye dual core 2.0 or above/1Gb Ram or above/150GB HDD or above/15"tft/DVDRW/No need of software/mengine standard...