Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

JF Prefixes:

Have a few files you want to get rid off from the computer? Here's a small computer lesson on how to permanently delete files from computer. A lot of people have a lot of old stuff lying on...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Wakuu naombeni msaada wenu jinsi ya kupata ID Card printer Datacard SD260 kwa hapa bongoland. naogopa kununua online coz more than 50 percent ya online auctioners ni scammers naombeni msaada tafadhali
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Haya ni mambo muhimu kuhusu blogu haswa kwa wale wanaopenda kuanza kublogu au wenye blogu lakini wanapenda kujifunza zaidi baadhi ya vitu , mengine unaweza kujifunza kwa kutafuta kwenye mitandao...
1 Reactions
8 Replies
4K Views
How incoming enemy aircraft were detected before the Invention of Radar...! I bet none of you ever saw this stuff before.
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Wandugu kuna yeyote aliyekwisha wahi kukastamize open source sms gateway yoyote ile kwenye maswala ya mobile applications/projects.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Nimeamua kuuliza hili swali baada ya kuwa njia panda kwa muda mrefu. Wengine husema wakati mvua inanyesha hasa ya radi simu inatakiwa ifungwe maana ni hatari. Wengine husema haina tatizo. Naomba...
0 Reactions
13 Replies
10K Views
Habari wakuu Please kuna mtu yoyote atusaidie jinsi ya ku burn movies 5 au kendelea kwenye DVD Thanks
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Jamani naombeni serial number za internet download manager idman 605
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Wakuu natafuta netbook mpya or used which is in a good condition: Mtu mwenye any of this models and yupo tayari kufanya biashara tuwasiliane. 1. Samsung NF310 2. Acer Aspire One D260 Bei...
0 Reactions
0 Replies
939 Views
Habari wana jamii Forum, Naomba msaada wenu, Ninahitaji Time Watcher nzuri ya kununua kwa ajili ya kutumia kwenye internet cafe, nimeasha jaribu free version lakini kuna wakati zina sumbua...
0 Reactions
9 Replies
5K Views
kwa watu wote wanaotumia modem kupata internet, amekuwepo ujanja ujanja wa vodafone kuchelewesha kujiunga baada ya kujisajiri , au wakati mwingine message za kukubaliwa haziji kabisa au zinakuja...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
I have some software on an offline storage and I would like to share with JF members. is there an Place to upload for member to access?
0 Reactions
2 Replies
796 Views
wajameni naombeni sana msaada wenu cmu yangu nimeletewa toka UK so iko locked na mtadao uliyokuwa unatumiwa kwny cmu hii kwa bahati mbaya cwezi sema ni mtandao gani uliolokiwa lakini naweza wapa...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Wana JF, hivi ni lini Tanzania itakuwa na uwezo wa kumanufacture its own car? Tatizo ni nini?, Malighafi, Wataalamu, Uwezo wa kifedha, Mipango mibovu, Nia au kutokuwa na ndoto kama wenzetu walivyo...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari wana Jf, Nimelizwa computer na Moderm ya Vodacom, kuna jinsi yoyote ya kutrace moderm kwa kutumia IMEI au SERIAL ujue inatumika wapi? nimejaribu kupiga Voda customer care sijapata msaada...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Yahoo error reporting! Salam wanajamvi! Jaman naombeni msaada wenu nina tatizo nikifungua tu yahoo then nikasaign inn kusoma email inaleta window ya send error or don't send! eti nifanyeje...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Hodi wanaJF!! Modem yangu ya voda haifanyi kazi toka Ijumaa. Je kuna mwingine mwenye tatizo kama langu? actually natumia modem ya Zain iliyochakachuliwa. Toka Ijumaa napata message inayosema...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Msaada tafadhali, nataka kuhamia Airtel wenye internet ya ukweli
0 Reactions
26 Replies
4K Views
Jamani wana JF naomba msaada wa activation codes za Limewire pamoja ares softwares! Natanguliza shukrani!
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Express the problem you have to get a solution
0 Reactions
42 Replies
5K Views
Back
Top Bottom