Not so with the fifteen sites here. These sites changed the Internet, mostly for good, in substantial ways. Included here is everything from Geocities (which could probably be blamed entirely...
Wakuu salaam,
Nimevamiwa na wajanja kwa hiyo my email account yangu inatuma spam kwenye watu wote niliowahi kuwasiliana nao awali.
Nimebadili password mpaka kuweka majina ya kibantu bado. je...
Toka wiki iliyopita nimeona speed ya hawa jamaa imeshuka kwa kwasi ya ajabu sana, mwanzo speed yao ilikuwa inafika hadi 2.mbps kwa 3g, ila toka wiki iliyopita imeshuka na haifiki hata 1mbps, juzi...
Kuna computer nimeletewa na rafiki yangu nimfanyie Installation ya Windows,hii Laptop ni Dell D610,sasa nilianza kujaribu kuingiza Windows XP ikagoma,nikaamua kujaribu Ubuntu nayo...
wana JF,naomba msaada wa mawazo,najaribu kucompose message kwenye yahoo,inashindikana,page ya kuandika haidisplay(ninapoclic compose page haidisplay)nifanyeje?
Katika suala zima la mawasiliano hasa bila kutumia nyaya(yani wireless communication) tuna aina mbila za toplogy, ya kwanza uitwa Ad-Hoc Network topology na aina ya pili uitwa infrastructure...
Amani kwenu wadau!
Naomba msaada kwa yeyote anayeweza kunisaidia nkapata information ya sehemu nikaatend short course ktk graphic design. sehemu yoyote dar!
thanks!
Wandugu wooote salaam sana. Ninauliza kama kuna mtu mwenye software ya Hotel managment yenye uwezo wa kuprint service voucher/invoice/ cash in/out etc.???
Mambo vp wanataaluma,naombeni msaada kwa anayejua security code za nokia 2690,nimejaribu zile za kawaida 1234 na 0000,lakini sikuambulia kitu,ila nikiweka line ya voda ni fresh kabisa haitaji...
A University of Western Ontario researcher seeking to determine the genetic sequencing of schizophrenia has observed that even identical twins are not exactly alike at the genetic level.
The...
Dunia imegundulikuwa kuwa si duara bali ni kama kiazi. katika umbo jipya linaloonesha ukanda wenye mgandamizo mkubwa wa nguvu za uvutano na mdogo(Gravitational force). Tanzania tupo ukanda wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.