habari zenu wadau mi na shida na muonekano mwanzo ilikuwa inadisplay englsh lang lakn sas hv inadisplay kirusi flan sasa sielewi. Je nifanyeje irudi kenye hal yake ya mwanzo. ...
Plz msaada kwnye...
Wakuu wanajamvi naomba msaada wenu, nataka kujiweka fit na program ya SPSS, jaman mweye software and study guide(soft copy) anisadie
Natanguliza shukurani
Habarini za Kazi wakuu, Jamani mie Natumia Modem ya Zantel yenye Kifurushi cha Z - MONO ambacho Natakiwa kuweka elf Kumi kila Mwezi, Na matumizi yangu makubwa ni Facebook, Hotmail, Badoo na...
Wadau, natumia Decoder ya Easy Television,huwa nakilipia kila mwezi,chakushangaza kwenye hiki king`amuzi kina ch:32 lakini ninauwezo wa kutazama Ch: 18 tu na nyingine zinanidai Pin code ...
NIMEBADILISHA OPERATING SYSTEM KWENYE LAPTOP YANGU AINA YA ( iNSPIRO 1525) DELL, DRIVER ZA SAUTI ZIMETOKA,PAMOJA NA VGA COMPATIBLE NAOMBENI MSAADA MWENYE NAZO ANITUMIE
Naomba msaada; modem ya voda inakataa kwa laptop yangu hadi nimelazimika kununua ya airtel, natumia windows 7, je hiyo inawea kuwa sababu? Nifanyeje wakuu?
Heshima wakuu,
Tangu jana usiku nimehangaika sana kutumia JF kwenye simu yangu, Nimepost thread ya kwanza then baada ya kutoka kwenye Internet nilipotaka kurudi tena sehemu ya home page hakukuwa...
Jamani wanaJF naombeni msaada wenu kwa anayefahamu wapi zinapatikana dish za ku-band za ukubwa wa cm 120 na gharama yake ni kati ya sh ngapi maana nilizunguka maduka yote mwanza lakini sikufanikiwa!
Habari zenu jamani natumai hamjambo!
Pleasee nisaidieni jinsi ya kufanya istallation ya window server 2003 na pia nataka kujua kama inawezekana kuistall window server 2003 kwenye machinw yenye...
Habari wana Jf, naombeni mawazo kidogo kuhusu yaliyonikuta, nimekutana na kimeo leo kimenitoa jasho, Window 7 home premium nimeistall Avast free antivirus 6.0.1000.0 inakataa kuregister ukiclick...
Naomba msaada wanajamvi. Nina laptop yangu inatumia Windows 7. Inanipa warning kuwa Windows Security Centre will not start. Nimejaribu ku configure na kujaribu i start tena automatically lakini...
jaman nilikuwa naomba msaaada wa software ya ku unlock memory card !! maana nina nokia yangu e71 ambayo nime i update xema kumbe memory yake ilikuwa na key xo now inashindwa kusoma !! msaada tafadhali
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.