Jamani naomba kujulishwa maneno yafuatayo Operamini for Symbian na Operamini mobile for Symbian maana nataka kudownloud kati ya hizo ,maana ipo yenye 6,11,4.3,5.1 sasa nashindwa hata kuchagua...
Habari wa JF!
Nimenunua bundle vodacom then kabla sijaitumia inaniambia kitu kama hiki;`Your Ad-hoc Data Bundle Service Type has been migrated to MyMeg 50 Bolt-on Prepaid Data Bundle.`
Na hapo...
Wakuu nawatu wa tenolojia
Hii site http://teknohama.x10.mx/ imekaaaje ? ina tatizo gani ?nirekebishe kitu gani
Dhumuni niku tengenza blog yenye ladha ya kiwebsite. yaani nusu blog nusu...
Hodi jamvini wana JF, naomba mnijulishe iwapo naweza kutumia tv card kwa laptop yangu na kwa namna gani, nahitaji program gani kwa computer? Iwapo its possible, naweza ipata wapi kwa bei poa but...
Habari ndugu! Kama kuna mtu ana jua namna ya kupata free download ya PDF AU ADOBE READER FOR MOBILE PHONE Naomba maelekezo.Simu yangu ni Orignal NOKIA 2700 CLASSIC, Nashindwa kusoma files...
vs
Mozilla imeshaachia Firefox 4, na chini ya nusu siku imeshakuwa downloaded mara mbili ya IE9(Internet Explorer 9) ambayo Microsoft walijisifu sana.
Sasa hivi...
Jamani wanasema kuuliza si ujinga neno PM huwa naliona lakini nimeshindwa kujua maana yake ninini wengine wanasema hebu ni PM kwa nia ya kutumiwa kitu fulani mie nimeshindwa kwa vile sijui maana...
Heshima kwenu wakuu. Nina tatizo laptop {Notbuk} yangu aina ya Accer eMachines model eM350 nikicharge ikifika 87% haiendelei tena kuingia charge hata kama nitaiacha kwenye charger kwa masaa 3 au...
Hello JF,
I have a technical issue here that I would like your inputs. I have an internet cafe where I want to set up one CPU to be used by two monitors but independently.
I understand about the...
Ninatumia modem ya voda kwa mitandao yote lakini kutokana na matangazo ya airtel kuwa leo ijumaa hadi jumapili internet ni bure kwangu imekuwa sio hivyo jamaa wanakula hela tu sijui kwa wenzangu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.