Nina camera digital aina ya casio exilim EX-Z16 yenye 12.1 megapixel na zoom ya 3x niliyoinunua mienzi mitano iliyopita huko Spain ambayo imekuwa na matatizo yafuatayo;
Sijawahi kuidondosha...
Naomba kufahamu mambo kadhaa kuhusu mkongo wa Taifa:
1. Je umekamilika?
2. Je tumeshaanza kuutumia? Kama jibu ni ndiyo, mbona basi speed ya internet iko vilevile kama zamani na mbona bei...
Waungwana naomba msaada wa jinsi ya kutumia simu yangu Nokia N95 Nsiries kama mordem. Computer yangu ni aina ya Compaq yenye window Xp professional. Msaada tafwaaadhali.
Kuanzia leo nitakua hapa kama muwakilishi wa kujitolea wa airtel so kama una tatizo lolote kuhusiana na line yako,na matumizi ya mtandao wa airtel kwa ujumla tafadhali jiskie HURU...i'M HERE FOR YOU
Kutoka majuu
Microsoft Files Antitrust Complint Vs Google
Once the focus of antitrust complaints itself, Microsoft sets its targets on Google
The tables -- or in...
msaada tafadhali natanguliza shukrani
nina tv yangu aina ya
Ferguson F2620LVD 26in LCD TV
lakin kila niki play video kwenye ile screen naoan picture motion ina chelewa ku respond...
TAKE THIS:panda:
Ilo tatizo nilikuwa nalo lakini liziinstall kwa kutumia copyuta huwa zinapatikana kwenye SETTINGS-SECURITY -certifaicates kwanza unabidi huwe na
1. nokia pc suite
2.usb cable/pc...
habari zenu bana niaje wadau wa jf...naomba msaada wenu wadau nina ipod ya 1Gb kila nikiweka nyimbo inaktaa afu imeblock nikirestore inakuwa poa ila nikiweka 2 nyimb aimalizi ku syclonise...
Nimeibamba hii habari mtandaoni leo, kwa wenye habari mutanisamehe kwa kurudia.Hatua njema anwani yake ni http://www.tbc.go.tz
For ICT news,lessons,knowledge... Tembelea ICT KIjiji
nina tv yangu aina ya
Ferguson F2620LVD 26in LCD TV
lakin kila niki play video kwenye ile screen naoan picture motion ina chelewa ku respond yaani sauti ina sikika fresh xema motion ya picture...
Computer yangu imekwama katika internet lakini nilipocheki kwenye ethernet controller inaonesha haifanyi kazi.
nikijaribu ku update kwa kutafuta ethenet co nyingine kwa kupitia computer...
Natumia TTCLBB, Modem Smartax MT880, winxp, win7 pcs on wired LAN. A couple of laptops connecting using CISCO Linksys WRT1220N. Nina matatizo mawili
Im forced to rely on a single pc, since...
Wana jamiiforums;
Nilijaribu u-download tv4africaplayer kwa ajili ya kuangalia ITV. lakini la ajabu ni kwamba nimeweza ona siku moja tu, baada ya hapo hakuna response niki-click link. Watalaam...
Habari zenu wakuu, samahani waheshimiwa kama hili nalotaka kuuliza lilishajadiliwa hapa. Naomba mnisaidie kama kuna madhara yoyote ya kuficha ip address, na kama hakuna ni software au njia gani...
Nimeamua kuuliza hili swali baada ya kuwa njia panda kwa muda mrefu. Wengine husema wakati mvua inanyesha hasa ya radi simu inatakiwa ifungwe maana ni hatari. Wengine husema haina tatizo. Naomba...
Heshima kwanza kwa wanaJF wote. Jamani nawezaje kupata proglam ya kuzuia baadhi ya watu ninaotaka kutonipigia simu. Aina ya simu yangu ni Nokia 5130 express music
wadau habarini? naomba msaada wa hapa nilipo nauziwa black berry cave 8520 but nahisi kama vile inamatatizo maana najaribu kuitafuta kwa bluetooth katika simu yangu ya nokia siipati but...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.