Have a few files you want to get rid off from the computer? Here's a small computer lesson on how to permanently delete files from computer.
A lot of people have a lot of old stuff lying on...
Wakuu naombeni msaada wenu jinsi ya kupata ID Card printer Datacard SD260 kwa hapa bongoland. naogopa kununua online coz more than 50 percent ya online auctioners ni scammers naombeni msaada tafadhali
Haya ni mambo muhimu kuhusu blogu haswa kwa wale wanaopenda kuanza kublogu au wenye blogu lakini wanapenda kujifunza zaidi baadhi ya vitu , mengine unaweza kujifunza kwa kutafuta kwenye mitandao...
Nimeamua kuuliza hili swali baada ya kuwa njia panda kwa muda mrefu. Wengine husema wakati mvua inanyesha hasa ya radi simu inatakiwa ifungwe maana ni hatari. Wengine husema haina tatizo. Naomba...
Wakuu natafuta netbook mpya or used which is in a good condition: Mtu mwenye any of this models and yupo tayari kufanya biashara tuwasiliane.
1. Samsung NF310
2. Acer Aspire One D260
Bei...
Habari wana jamii Forum,
Naomba msaada wenu,
Ninahitaji Time Watcher nzuri ya kununua kwa ajili ya kutumia kwenye internet cafe,
nimeasha jaribu free version lakini kuna wakati zina sumbua...
kwa watu wote wanaotumia modem kupata internet, amekuwepo ujanja ujanja wa vodafone kuchelewesha kujiunga baada ya kujisajiri , au wakati mwingine message za kukubaliwa haziji kabisa au zinakuja...
wajameni naombeni sana msaada wenu cmu yangu nimeletewa toka UK so iko locked na mtadao uliyokuwa unatumiwa kwny cmu hii kwa bahati mbaya cwezi sema ni mtandao gani uliolokiwa lakini naweza wapa...
Wana JF, hivi ni lini Tanzania itakuwa na uwezo wa kumanufacture its own car? Tatizo ni nini?, Malighafi, Wataalamu, Uwezo wa kifedha, Mipango mibovu, Nia au kutokuwa na ndoto kama wenzetu walivyo...
Habari wana Jf, Nimelizwa computer na Moderm ya Vodacom, kuna jinsi yoyote ya kutrace moderm kwa kutumia IMEI au SERIAL ujue inatumika wapi? nimejaribu kupiga Voda customer care sijapata msaada...
Yahoo error reporting!
Salam wanajamvi!
Jaman naombeni msaada wenu nina tatizo nikifungua tu yahoo then nikasaign inn kusoma email inaleta window ya send error or don't send! eti nifanyeje...
Hodi wanaJF!! Modem yangu ya voda haifanyi kazi toka Ijumaa. Je kuna mwingine mwenye tatizo kama langu? actually natumia modem ya Zain iliyochakachuliwa. Toka Ijumaa napata message inayosema...