mamlaka ya mawasiliano imepitisha usajili wa simu( laini pamoja na simu yenyewe IMEI number) ambayo baadae itawezesha pia kuzuia matumizi ya simu ambazo zimeibwa. je kuna usajili wa aina hiyo wa...
Kwa muda wa miezi kama minne sasa nimekuwa natumia win 7 kutoka win xp.
Natafuta win xp nirudie jembe langu, maana hii win 7 inamadoido na mbwembwe nyingi lakini kwangu naiona nyanya sana, toka...
Wadau,
Nahitaji TV series za "It Might be You pamoja na Timeless"
Hizi series ziwahi kuonyeshwa na Star TV wakati fulani..... Naomba yule anayejua website nipoweza kuzidownload hizi au Mahali...
Natumia Dell laptop Latitude D510, window XP 2007, nilikuwa natumia Mozilla Firefox kubrowse mitandao. Speed yake ni nzuri na nili-ifurahia. Kizaa zaa kilikuja baada ya ku-install VLC media...
I run the F45-AV412. I need to slipstream SATA AHCI Controller driver into WXP cd. How do I find out the make and model of my motherboard so I can search and download its AHCI driver? I can't use...
Habari wakuu, natumia blackberry curve 8520, sasa kuna software nazihitaji ni za kulipia kwa pay pal, nilikuwa nauliza inawezekana kulipia? Na ninaomba maelekezo ya namna ya kulipa......thanx in...
Do you want to send SMS for free from your iPhone? Well, new app released on the App Store called TextFreek, which will allow you to send free SMS from your iPhone. After you have installed this...
Naomba wanaofahamu wanisaidie. Je ku-unlock modem niliyoinunua kwa fedha taslimu (sizungumzii zile modem za contract kama zipo) je ni kinyume cha sheria?
Ninayo Iphone Serial No: 7U7457SEWH8,imei No:011364002578596 Nimetumiwa na jamaa yangu tokea USA na imekuja na simCard ndani yake sijajua kama ilikuwa inatumika huko au imetoka nayo...
Nilitumia adapter tofauti kwenye kompyuta yangu tangu hapo imekataa kuwaka,je ni kifaa kipi kitakuwa kimeharibika?kwa yeyote anayefahamu mafundi wa kompyuta wa kuaminika wanaopatikana dar naomba...
Watu wengi wamekuwa na mtazamo mdogo juu ya Usalama (security) usalama katika computer nyumbani, na hata maofisini.
Tunapoongela secuity watu wengi wanadhani tishio(Threat) Kubwa katika...
HACKING A CYBER CAFE IS REAL FUN BUT MAKE SURE YOU ARE NOT CAUGHT B'COS I WONT BE THERE TO HELP YOU,
1. Buy any amount i mean time, put it in box
Before u click the enter button just hold the...
NASA has revealed what the future of air travel could look like.
The US space agency has released pictures of three different designs of aircrafts that could potentially be seen flying in 2025...
Nilikuwa natumia modem hiyo hapo juu lakini nimejitahidi sana kuichakachua matokeo yake nimeiharibu lakin kabla sijaitupa naomba mnisaidie yaani nikiichomeka inawasha taa nyekundu na pia...